Kumbe ukiwa ugenini inabidi ucheze kwa nidhamu ya kiuoga ???Ndugu unaorodhesha hizo timu kubwa unajua nidhamu ya mpinzan mkubwa ukiwa kwake? Nyie mashabik wawap jaman?
Liverpool alienda kushambulia nyumban kwa city nn kilimkuta?
Spurs alienda kushambulia kwa city nn kikumkuta
Arsenal alienda kushambulia kwa city nini kilimkuta
City alienda kushambulia nyumban kwa liverpool nini kilimkuta
Spurs alikuja kushambulia old traford nn kilimkuta
Ukishinda ugenini unatkiwa kuwa na wachezaji wenye uwezo binafsi wa kuamua matokeo kwa hali yoyote united unao?
Acheni porojo.
Inaitwa nidhamu ya uogaKiukweli nidhamu ya Man U inapocheza na big fish wenzake imevuka mipaka. Tumekuwa tukitumia approach za kuogopa hizo game zote tukiwa nyumbani na ugenini pia. Na hapo ndo panapochukiza
Halafu linakuja "lijitu" linasema eti ni mbinu za kucheza na team kubwa...Kiukweli nidhamu ya Man U inapocheza na big fish wenzake imevuka mipaka. Tumekuwa tukitumia approach za kuogopa hizo game zote tukiwa nyumbani na ugenini pia. Na hapo ndo panapochukiza
Radika umeongea point ya maana sana japo mourinho anazinguwa piaNaendelea kukufunza soka giggs kiasili ni namba 11 hivi unajua baadhi ya mechi alichezeshwa namba 8? Bado nakuhurumia na kukupa pole tunawechezaji wa kawaida ila mnawakuza mchezaj anacheza ili mradi tu sio wapiganaji
Van gal vp mbona na yeye walimshinda?Mimi naamini hao hao kina lingard kama wakipata kocha Wa kucheza mpira watawaka sana. Pengine Mou ana Misuse wachezaji ndugu hulioni hilo? Pogba toka juve alikuwa huko free sana na alikuwa ni more attacking player and not so defensive one. Hapo ndio mana akaweza kuonyesha ujuzi wake kwa kiasi kikubwa.
We jamaa nakushangaa sana hivi unafikir ukitumia matusi au lugha za kuuzi utabadilisha mambo? Jikite kuongea kila unachokiamini lugha za hovyo hazibadilli kitu mi ntaendelea kuwafunza madogo mnaojaa upepo natoboa tu maputo tyuuuu tukana unavyoweza ila wanaoona kocha anafaa wamempa kandarasi mpya hii ina maana wamepima maeneo mbalimbali hadi kapewa mkatabaHalafu linakuja "lijitu" linasema eti ni mbinu za kucheza na team kubwa...
Nimeliwekea mpaka snap shot kuonesha kiwango cha team yetu dhidi ya team kubwa na vs team ndogo.
Tukubali tukatae Team yetu chini ya Mourinho haina "Guts" ya kupambana na team kubwa... Cheki kiwango chetu dhidi ya Madrid kwenye super cup.. Halafu angalia Madrid alivyonyooshwa na Tottenham.
Mi sijakataa mkuu kuna muda anazingua kweli ila tuangalie hata timu yetu je wachezaj wanapambambana vya kutosha sasa kama jonjo anampoteza pogba utasema mourinho? Herrera si mkabaj kazi umeona toka kocha ampe majukum mapya hawa kwa nn?Radika umeongea point ya maana sana japo mourinho anazinguwa pia
[emoji40] [emoji40]Mi sijakataa mkuu kuna muda anazingua kweli ila tuangalie hata timu yetu je wachezaj wanapambambana vya kutosha sasa kama jonjo anampoteza pogba utasema mourinho? Herrera si mkabaj kazi umeona toka kocha ampe majukum mapya hawa kwa nn?
Bora hata wewe kwa upande mwingine unakubali Mwl anazinguaRadika umeongea point ya maana sana japo mourinho anazinguwa pia
Shida kubwa ya Van gal ni kwamba in kama aliiua ile falsafa ya Manchester united ambayo Mara zote mashabiki pale OT huwa wana chant "Attack! Attack! Attack! Kwa hyo na yeye Ali misuse wachezaji pia. Alikuwa na wachezaji ambao wangeweza kushambulia ila yeye aliegemea kwenye possession football zaidi kuliko kushambulia zaidi. Na hata sasa ukiangalia kilio kikubwa cha washabiki Wa hii timu wanaolalamika ni timu kutoshambulia sana. Timu inakaa sana nyuma na kushambulia kwa kuvizia zaidi karibia kwa kila game,manake hata kwa baadhi ya timu ndogo tunapozitangulia kwa magoli huwa tuna paki basi.Van gal vp mbona na yeye walimshinda?
You're such a tank thinker and Charismatic fella...Shida kubwa ya Van gal ni kwamba in kama aliiua ile falsafa ya Manchester united ambayo Mara zote mashabiki pale OT huwa wana chant "Attack! Attack! Attack! Kwa hyo na yeye Ali misuse wachezaji pia. Alikuwa na wachezaji ambao wangeweza kushambulia ila yeye aliegemea kwenye possession football zaidi kuliko kushambulia zaidi. Na hata sasa ukiangalia kilio kikubwa cha washabiki Wa hii timu wanaolalamika ni timu kutoshambulia sana. Timu inakaa sana nyuma na kushambulia kwa kuvizia zaidi karibia kwa kila game,manake hata kwa baadhi ya timu ndogo tunapozitangulia kwa magoli huwa tuna paki basi.
Hivi we jamaa unasimamia nini has a? Kuna kipindi Scholes alilalamika sana juu ya msaada Wa pogba ktk timu hasa mechi kubwa na ngumu,Mou akasema pogba yuko poa tu ila Scholes anamsema pogba sababu ya wivu alionao juu ya pesa nyingi anayopata pogba pale man u. Baada ya kusema hivo ulimsapoti asilimia mia Mourinho, na Leo unam criticise pogba kwa nini!?Mi sijakataa mkuu kuna muda anazingua kweli ila tuangalie hata timu yetu je wachezaj wanapambambana vya kutosha sasa kama jonjo anampoteza pogba utasema mourinho? Herrera si mkabaj kazi umeona toka kocha ampe majukum mapya hawa kwa nn?
Sina hojaWewe unahoja gani?
Mkuu unatumia Hydrogen Bombs na Missiles za North Korea kuua sisimizi.... Hoja zako ni heavy huyo jamaa hana ubavu wa kuzipunchHivi we jamaa unasimamia nini has a? Kuna kipindi Scholes alilalamika sana juu ya msaada Wa pogba ktk timu hasa mechi kubwa na ngumu,Mou akasema pogba yuko poa tu ila Scholes anamsema pogba sababu ya wivu alionao juu ya pesa nyingi anayopata pogba pale man u. Baada ya kusema hivo ulimsapoti asilimia mia Mourinho, na Leo unam criticise pogba kwa nini!?