Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Roy Keane on Pogba: “Any top player should be able to play in a two or a three. So the guy just needs to do better himself and focus on what the game of football’s all about.“ [itv]
 
Huyo Radika ni popoma
 
Tulikuwa tunaongoza 2-0 Mourinho akapaki basi,au umesahau.
 
Pogba ni mchezaji wa kawaida ,Lukaku ni mchezaji wa kawaida ???

Martial ni wa kawaida ????? Matic ni wa kawaida ????

Mikitaryan alikuwa ni mchezaji wa kawaida ????

Kubali kocha Wetu anazingua saaaaana
 
Pogba ni mchezaji wa kawaida ,Lukaku ni mchezaji wa kawaida ???

Martial ni wa kawaida ????? Matic ni wa kawaida ????

Mikitaryan alikuwa ni mchezaji wa kawaida ????

Kubali kocha Wetu anazingua saaaaana
Alichukuaje ueropa na hao wasiozingua wapo nafasi ya ngapi?
 
Pogba ni mchezaji wa kawaida ,Lukaku ni mchezaji wa kawaida ???

Martial ni wa kawaida ????? Matic ni wa kawaida ????

Mikitaryan alikuwa ni mchezaji wa kawaida ????

Kubali kocha Wetu anazingua saaaaana

Wewe mchezaji mzur huonekana na anajulikana hata timu icheze Vipi

Rooney alikuwa akicheza namba ngapi? Na kiasili rooney anatakiwa kucheza namba ngapi? Halafu unaniita popoma nimekusamehe bure tu hujui unenacho umeiona energy ya matic kwa hiyo na yy anacheza sio namba yake? Martial kafanyaje?
 
Mechi dhidi ya arsenal tulipaki basi japo tulishinda 3-1

Mechi vs Liverpool tulipaki fuso

Mechi dhidi ya man city tulikuwa nyuma kwa takwimu zote na tukafungwa

Mechi dhidi ya Tottenham tulipaki basi na kugungwa

Mechi dhidi ya Chelsea tulikuwa nyuma kitakwimu na tukafungwa 1-0 goli la morata ..

Hapo sijazungumzia mechi zingine na vitimu kama Leicester city na Southampton tulivuopack basi mpaka presha ikawa Juu...

Timu yenye dalili za kuwa bingwa ni pale unapokutana na "tittle contenders" wenzako kama Liverpool, Man city, Chelsea , Arsenal au Tottenham . Tumekuwa na kiwango kibovu vs hizi timu..... Simuoni Mourinho akiipeleka hii timu mbele.

Nashangaa watu wanamtetea Mourinho eti hana wachezaji, mbona huu unaelekea mwaka watatu na hela ya kusajili huwa anapewa anaenda kusajili wakina linderlhof.

Angalia INA ya wachezaji wanaofukuziwa na Pep Guardiola na wachezaji wanaofukuziwa na Mourinho ndio utajua Guardiola ni Genius.
 
Pogba ni mchezaji wa kawaida ,Lukaku ni mchezaji wa kawaida ???

Martial ni wa kawaida ????? Matic ni wa kawaida ????

Mikitaryan alikuwa ni mchezaji wa kawaida ????

Kubali kocha Wetu anazingua saaaaana

Naendelea kukufunza soka giggs kiasili ni namba 11 hivi unajua baadhi ya mechi alichezeshwa namba 8? Bado nakuhurumia na kukupa pole tunawechezaji wa kawaida ila mnawakuza mchezaj anacheza ili mradi tu sio wapiganaji
 
Alichukuaje ueropa na hao wasiozingua wapo nafasi ya ngapi?
We jamaa zwazwa kweli , Chelsea alibeba Uefa akiwa Nafasi 6 au umesahau ???

Unaonekana ulikuwa muda huo unapiga piga maji kwenye beseni

Timu ya Manchester kushiriki Europa na kushindwa kuchukua hilo kombe ni aibu , ni wajibu kulibeba na ndio maana huoni mashabiki wenye akili zao timamu wanajivuna.

The same to arsenal msimu huu wasipochukua hiyo Europa ni aibu na utakuwa trending news tofauti na wakilibeba
 
Naendelea kukufunza soka giggs kiasili ni namba 11 hivi unajua baadhi ya mechi alichezeshwa namba 8? Bado nakuhurumia na kukupa pole tunawechezaji wa kawaida ila mnawakuza mchezaj anacheza ili mradi tu sio wapiganaji
Mimi naona kocha kashindwa kutengeneza morality ya kiupiganaji kwa wachezaji,si kwamba wachezaji hawana uwezo Mkubwa ndugu. Labda kama utasema wachezaji alionao si aina ya wachezaji Wa kupaki basi.
 
Ndugu unaorodhesha hizo timu kubwa unajua nidhamu ya mpinzan mkubwa ukiwa kwake? Nyie mashabik wawap jaman?

Liverpool alienda kushambulia nyumban kwa city nn kilimkuta?

Spurs alienda kushambulia kwa city nn kikumkuta

Arsenal alienda kushambulia kwa city nini kilimkuta

City alienda kushambulia nyumban kwa liverpool nini kilimkuta

Spurs alikuja kushambulia old traford nn kilimkuta

Ukishinda ugenini unatkiwa kuwa na wachezaji wenye uwezo binafsi wa kuamua matokeo kwa hali yoyote united unao?

Acheni porojo.

Mimi naona kocha kashindwa kutengeneza morality ya kiupiganaji kwa wachezaji,si kwamba wachezaji hawana uwezo Mkubwa ndugu. Labda kama utasema wachezaji alionao si aina ya wachezaji Wa kupaki basi.
Maamuzi ya haraka na kushambulia wengi wa binafs wapo pale unazuia na kushambulia fasta.
 
Halafu unaniita zwazwa tuliza akili ndugu hapa wewe ndo unaonesha zwazwa sisi tulipokosa nafasi ya kushirik champions lig nguvu zikahamia ueropa chelsea alikuwa 6 nguvu alihamishia uefa baada ya kuona huku hana chake hata arsenal asipowekeza jitihada hiyo habeb
 
Unaweza ukawa huo muda wewe mkubwa unacheza mpira mimi napiga maji kwenye baseni ila ukawa unatoka kapa pamoja na ukongwe wako mfano mdogo tu

Pep wakat anacheza mpira sir alex alikuwa kocha pep alipokuwa kocha walipokutana na mkongwe sir alex nini kilitokea hizo mbwembwe hazisaidii ktk mpira labda uwe unajifurahisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…