Bado naamini ubingwa ni wetu
Kumbe we nichama chetu!!! Nikajuw wew wakijijini kumbe wa mjini?Bado naamini ubingwa ni wetu
Bado naamini ubingwa ni wetu
Hahahaha mkuu upo?Bado naamini ubingwa ni wetu
Hivi nani anamkalisha bench Herrera?
Nipo bana ndio nimetoka kuamka hapa....bado naamini huu ubingwa ni wetuHahahaha mkuu upo?
Ni Mimi mwenyew aiseeee.......ligi bado mbichi sana hii timu nyingi zimegoma kugeuzwa Mara mbiliSamahani Mkuu! Hii account yako imehekiwa?
😀 😀 😀
Ander Herrera ni majeruhi kwa sasa aliumia baada ya game ya Spurs na huenda hata game against Sevilla akaikosaMkuu hata mimi huwa najiuliza nakosa majibu. Yaani kwa sababu ambazo hatuwekwi wazi ghafla herrera amekuwa mchezaji wa qarabao na fa tu.
Binafsi huwa namuona herrera kama mbadala mzuri kucheza kando ya matic (sijamuongelea PP) maana ana uwezo wa kuichezesha timu haraka kuelekea mbele. Lakini leo hii McTomminay anamsubirisha herrera nje,unacheza na newcastle unatumia viungo wawili wagumu kama sio kukaribisha mashambulizi ni nini?
Mou aache wachezaji wawe huru kufurahia mpira sasa,ubingwa ushakuwa historia kwa msimu huu. Walau tufurahie hata burudani pekee kama makombe yameshindikana (kama alivyoamua wenger)
Mou naona kama anazingua vibaya sana. Timu ina wachezaji wazuri tu, tatizo ni yeye.Mkuu hata mimi huwa najiuliza nakosa majibu. Yaani kwa sababu ambazo hatuwekwi wazi ghafla herrera amekuwa mchezaji wa qarabao na fa tu.
Binafsi huwa namuona herrera kama mbadala mzuri kucheza kando ya matic (sijamuongelea PP) maana ana uwezo wa kuichezesha timu haraka kuelekea mbele. Lakini leo hii McTomminay anamsubirisha herrera nje,unacheza na newcastle unatumia viungo wawili wagumu kama sio kukaribisha mashambulizi ni nini?
Mou aache wachezaji wawe huru kufurahia mpira sasa,ubingwa ushakuwa historia kwa msimu huu. Walau tufurahie hata burudani pekee kama makombe yameshindikana (kama alivyoamua wenger)
Kipindi cha kwanza Nafasi 4 , Manchester united dakika 90 Nafasi 5 .... Tena wakiwa ugenini zitakuwa Si tano ni tatu au mbili ,Man City wamepata nafasi 4 wamefunga magoli 3 while United inaweza ikapata hata nafasi 5 na isipate goli hata moja
City are more clinical infront of goal compared to United ndio maana wanamaliza mechi mapemaKipindi cha kwanza Nafasi 4 , Manchester united dakika 90 Nafasi 5 .... Tena wakiwa ugenini zitakuwa Si tano ni tatu au mbili ,
Nafasi nyingi ni probability ya kupata magoli, Manchester united Nafasi ila si nyingi Bali chache
Bado tu mnaiota hiyo chance pekee
Dah hili si goli kabisa!!!!dah