Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ooh San chizi amekuja kubadili timu...ila fans wa man u ni afya kwa wengine mkifungwa ....mwaongea sanaaa
 
Mwaka jana alikuwa xhaka zilipigwa ngojera hapa kumbe nyie wa kdb mnausoma mchezo sasa na nyie zamu yenu sijui mwakan ataibuka nani pogba anatabu sana pia inaweza kuwa rangi yake inamponza mweusi kumkubali mweusi hadi maji yafike shingoni.
Xhaka unamfananisha na nani mkuu?huyu pogba aaaaah mkuu acha utani basi
 


Ndugu yangu akili yako ipo sawa wewe pogba kachukua best young player wa ulaya nzima wewe unatuambia bundesliga?

halafu unajiita shabik bumunda daa inabid nikuache mwaka 2013 kaingia first 11 best player wa ulaya huyo hakuwepo? kayafanya hayo akiwa na miaka 22 had 23 hadi hapo kwa heli
 
Wewe ni MPUUZI wa kiwango cha mwisho...
Hautaki nikuquote,haupendi kuona post zangu humu..!?
Mbona ni rahisi sana...
Just ignore me...
Niweke kwa ignore list,utakua umemaliza kazi...
Ila sio unipangie namna ya kutumia muda na MB zangu humu jukwaani..!
 

sawa muelewa tuzo ya bundesliga na young best player in europe ipi Kubwa?

hapo ndo utajua nani mpuuzi
 
Umenikumbusha tena Drogba.. Nae alifiti kwenye huo mfumo.
 
Sanchez hajashinda mechi ya ligi toka mwaka jana hahahahhahahaha
Kwani mechi iliyopita na Huddersfield na akatupia goli moja(alipewa penalti golikipa akapangua na akauwahi kisha kutupia kambani) haikuwa ya ligi?
 
Jonjo shelvy mechi yake kwanza EPL na liver ilikuwa against Manchester united na alipewa red card kwaiyo Leo ndyo ameonyesha hasira zake kwa kumfanta pogba aonekane ni boya hata kwa mwinyi kazimoto
 
Wewe ni MWEHU...
Umeniambia nikutajie tuzo yoyote binafsi ambayo KDB amewahi kuchukua,nimekutajia lakini unaanza kuniletea habari tofauti tena...
Pia ukasema KDB ameanza kung'aa msimu huu,nimekupa data kuwa hauko sahihi bado unaniletea mapambio..!
Jinga sana..!
 
Naona pogba hana morali tena toka mechi inaanza nlimuona hayupo sawa

Pia mourinho sio mjanja kumshinda
Ander herrera

Toka mwanzo alipokosekana tu nkajua maumivu

4 3 3 ndo mpango huu mfumo wake wa 4 2 3 1 spurs na liverpool watatuoa pale.
Wewe na morinho nani ni professional kwenye tasnia ya mpira na ukocha?

Unafikili hizo pumba zako morinho hakuzitambua?
 
Naomba kusema kwa mara ya kwanza nawaunga mkono na mguu wanaosema Mou anazingua timu hovyo kabisa. Mpaka wafungwe ndo wanacheza.
Mkuu usisahau kunipa credits zangu za kuenzi harakati za kuona Mourinho sio kocha wa kutuvusha tunapopataka, Nilitukanwa na kusemwa saaaaaana.


Vita vikiongozwa na radika + PRODO.


Nakumbuka niliwahi kusema chini ya Mourinho
Wachezaji wengi wataonekana wabovu, nikamtaja mickhtaryn Leo amekuwa Pogba. Nawaambieni tena orodha itazidi kuongezeka.



Narudia tena na ikibidi naombeni mtunze haya ninayoongea.

Mourinho hana mbinu za kuivusha team hii kwenda mbele na wachezaji wengi wataonekana under performers kwa sababu ya mbinu mbovu za mwalimu zimezofeli kuaccommodate wachezaji kucheza vizuri. Alianza micktaryan amefuata Pogba, kesho atakuwa Lukaku ( Mark maneno haya )


Mimi ni shabiki wa Manchester united ila huwa sina soni au aibu ya kuongea ukweli/facts bila kuona aibu yoyote.


Kuna MTU humu anaitwa Radika nilimueleza namna scholes anavyolalamika namna kiwango cha Pogba kinavyoporomoka tofauti na alivyokuwa juventus. Ukifuatilia maelezo ya Paul Scholes utaona ni kwa namna gani mbinu za Mourinho zisivyoweza kumchukua Paul Pogba. Mwisho wa siku Mourinho alimbeza scholes kuwa anamuonea wivu Paul Pogba. Na huyu Radika alinipiga vijembe saaaana. Cha kushangaza Leo mourinho anambiga benchi Paul Pogba. Lakini tatizo sio Pogba tatizo ni mfumo wa mourinho kwa Pogba.


Game dhidi ya Tottenham Pogba alichezeshwa kama Holding midfielder. Football pundits wengi walimkosoa mou kumchezesha jamaa Nafasi hiyo.



All in all Mourinho lazima abadili mbinu za kiuchezaji otherwise tutazidi kupiga hatua kurudi nyuma
 
Ficha upumbavu wako na kukurupuka ile mechi ya Huddersfield uliyepiga penati ulikuwa wewe?
Mbona povu mkuu na mimi lengo langu ilikuwa kuwatoa huko mapangoni mlipojificha ,haiwezekani wageni tuje msibani alafu nyie mle chochoro mtuachie majamvi hahahaha njooni tuombeleze waite wenzio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…