Manchester United (Red Devils) | Special Thread

kwa mfano ingeshinda we ungepata nini , yan kuna uchizi mmeubeba kwa lazma , me ni mdau wa soka ila co kindakindaki ki hvo
 
Hahahaha naona majiran Leo wamejaa humu
[HASHTAG]#GGMU[/HASHTAG] [HASHTAG]#UNITED4LIFE[/HASHTAG]
 
kama kawaida naona umetoka kichakani sasa wiki nzima ulifunga kula na kunywa unamaisha ya shida ndege tunduni
Ahahaaaaaaaaaaah..!
Wewe tema PUMBA tu...
Lakini as long as niko na MB za kutosha+muda,Manure United akipoteza mechi lazima unione humu..!
 
MoU ana mbinu za kizamani wakati mpira unabadilika haraka.Pogba mmh.....Huwezi kupata ubingwa kama huwezi kusbinda hizi.mechi za kawaida
 
Lukaku ameshindwa kuwa agressive kabisa, hana control nzuri pia hakai kwenye nafasi yake.
Jingine mouh aanze kuchezesha viungo watatu ili Pogba akacheze juu. Na suala la Jesse ni muda wa kumpisha Mata sasa.
Smalling ovyo hana confidence na hana defensive skills za mipira ya juu.
 
Ntazidi kumlaumu mou kwa selection ya midfield. Sijui ni kipofu haoni huyu jamaa?
Kwanza kwanini akomalie kucheza na viungo wawili wa ulinzi?

Unacheza na Newcastle bado unajilinda na nini timu kubwa Kama Man United

Pogba atalaumiwa sana huwezi kulazimisha acheze CDM kwenye mfumo wa 4:2:3:1

Mou anazingua sana
 
Ahahaaaaaaaaaaah..!
Wewe tema PUMBA tu...
Lakini as long as niko na MB za kutosha+muda,Manure United akipoteza mechi lazima unione humu..!

Unaweka bando kwa ajili ya kuja humu umeteseka sana yaelekea ktk makuzi yako manchester united wamekutesa sana kisayansi ni bora uwe unatema nyongo usije kujifia

by the way wewe sio level yangu mshabik wa man city ni sawa na wa newcastle tu au sunderland nakutupa kwenye taka la uchafu hutoona najib post zako labda uendelee na shobo zako ku quote post zangu ntakutazama na kukupuuza.
 

mkuu lukaku utamuonea kwa mfumo wa striker moja mbele ipo shida ni kocha kubadili mfumo tu nlikuwa namuona diego costa akifit kwenye huo mfumo wa striker mmoja mbele sasa lukaku kutuliza mpira shida kupiga chenga shida bado umsimamishe peke yake mbele ni ngumu huo mfumo ni wa complete striker angalau kwa pale england namuona kun aguero huo mfumo anacheza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…