Tatizo sio kocha bali kocha atafute kiungo mwingine wa kumsaidia pogba kocha kwa upande wa timu inafanya poa tungekuwa hovyo kama timu zingine hapo ndo tatizo la kocha.Naona taratiiiiiiiiiiibu unaanza kuona tatizo la kocha
Wanaojua mpira wamenielewa ninacho maanisha, we endelea kuamini unachokiamini sio lazima tufanane.We jamaa ni karatasi kichwani

Yaani Nyie Pogba-Fanboys Mutasubiri Sana Kwa Boya Wenu Huyo!!

[quote uid=236740 name="ze-dudu" post=18279228]Teampogba nipo
Mnaomkataa huyu jamaa mtamuelewa tu mi sijawahi kumkatia tamaa labda baada ya misimu mitatu kuanzia sasa ndio nitaanza kuona tulipigwa

Ni matokeo pia au hujui mpira kuna kushinda,kufungwa na suluhu ya aina yoyote?Leo mnakufa mbili
SOLUTIONIf Bournemouth beat Chelsea 3-0 and Watford beat Chelsea 4-1, Assuming momentum before collision = momentum after collision and forces applied to a rigid body all act in the same plane, calculate the number of goals Barcelona will score against Chelsea. (Take g=9.8m/s2)
Hapa nani alikuwa anapost hizi pumba again nenda facebook ndio utawadanganya

Yaani Nyie Pogba-Fanboys Mutasubiri Sana Kwa Boya Wenu Huyo!!

[quote uid=236740 name="ze-dudu" post=18279228]Teampogba nipo
Mnaomkataa huyu jamaa mtamuelewa tu mi sijawahi kumkatia tamaa labda baada ya misimu mitatu kuanzia sasa ndio nitaanza kuona tulipigwa

Ukiandika pumba jitahidi kuwa na kumbukumbu,JF sio ya watoto wa chekechea jitahidi kuwa realistic sina muda wa kufukunyua pumba zako ziko nyingi last week umesema Liverpool akimtoa Porto anakutana na Inter ukaambiwa Inter hayupo UCL ukabadilisha(ratiba ya robo & nusu fainal haijapangwa) na ukatuambia Coutinho hawezi kuuzwa sababu mkataba wake hauna release clauseStill You are wrong tena very wrong! Hiyo Post Haikuwa na Mantiki ya Kumrate Hendo Hata Kidogo!
Hapo Nimewataja Wachezaji Watatu Hendo, Kante na Coutinho.
Lengo la Hiyo Post haikuwa ikieleza Kuwa Hao Watatu ni Bora Kuliko Pogba! Lengo ni Nilikuwa naeleza Kuwa Anachokifanya uwanjani ni tofauti na thamani aliyonunuliwa. Kwani Hata Mchezaji Below average kama Hendo kamzidi Stats World Class Pogba!! Hiyo ndiyo Mantiki halisi ya post yangu.
Hapo ni Wewe ndiye unayedanganya Kwa Kuchukua Hiyo post ya Kati kati Ukaacha za mwanzo na za mwisho ili uaminishe watu kuwa ipo sahihi na Misikule ikakimbilia Kukupa likes kama Kwamba Umepatia.
Jaribu mbinu nyengine lakini hii siyo.
Mimi ninasifa ya kusimamia hoja yangu.
Hiyo post haihusiani hasa na kumsifu Hendo! Hivi huoni kama ninpost ya mlinganisho hiyo Na Wala si ya Kusifu mtu?

Yaani Nyie Pogba-Fanboys Mutasubiri Sana Kwa Boya Wenu Huyo!!

In Case of Touches ↑↑ He is Far away From Hendo

Who the hell is him??? ↑↑ Even Ngolo Kante is much better than him!!!

What about assist ↑↑ ?? He has 0.00000% of assist wich is equal to £85 million From Juventas!
While Coutinho has 4 assists which is equal to £8.5 million From Intermilan
Ukiandika pumba jitahidi kuwa na kumbukumbu,JF sio ya watoto wa chekechea jitahidi kuwa realistic sina muda wa kufukunyua pumba zako ziko nyingi last week umesema Liverpool akimtoa Porto anakutana na Inter ukaambiwa Inter hayupo UCL ukabadilisha(ratiba ya robo & nusu fainal haijapangwa) na ukatuambia Coutinho hawezi kuuzwa sababu mkataba wake hauna release clause

Acha bangi weweWote hao ni watoto kwa Jordan Henderson wa Liverpool mkuu..
Asubiri taji la EPL msimu huu kiumbe kinanyanyuaMimi Ninazungumzia Stats (Reality Show)! Sizungumzii Honors za Kupigiwa Kura.
Hizo Kura zenu ndiyo Zinazomfanya [HASHTAG]#Buffon[/HASHTAG] akawa Kipa Bora na De Gea asiwe Bora Wakati Stats Zinaonesha Wazi Kuwa De Gea ndiye Kipa Bora Kwa Sasa Duniani.
Wapuuzi km nyie inatakiwa mpuuzwe..ndo maana hakuna aliyekujibu kwasababu tumeona hujielewi..Ila mashabiki wa united akili zao hazina akili yaani pogba shoga unamfananisha na KDB kidume
Beki zenu zenyewe ni mashoga mfano Lindorf kajinga jinga tu