Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mkuu unampima huyo dogo kwa Huddlesfield inayoshuka daraja. Mpe mechi kubwa akae hapo kati alafu ndio urudi hapa kutoa maoni yako.
Muelewe jamaa, kamaanisha chalii yuko vizuri on a long term thing sio kwa sasa.

Tominay ndio kwanza kapandishwa kutoka Utd Academy, hajaanza hata match tatu straight, watu wamepima ile utulivu wake akiwa na Mpira versus game experience aliyo nayo.
 
Told you guys, kuna timu imemsajili Phil Jones wa kiholanzi kwa £75 mill.

Ni unazi tu unaotumia VVD Anatusaidia Sana Katika Ulinzi na Leo Kafanya Clearance nyingi tu.
Hakuhusika na Kosa lolote la Kimchezo Kwa Leo.
Kama Ni Penalty (Ya 2) basi Kila alietazama Mpira anajua Ni Swala la Kimaamuzi Ndiyo tatizo ingawa si mantic yangu hapa kujadili au kulaumu maamuzi.
VVD yupo Juu labda tafuta njia nyengine ya Kutushawishi.
Huwezi mfananisha Na Jones wako.
 
Ok, hawawezi kuwa sawa maana mmoja at the age of 20 tayari alikua anacheza Manchester huyu mwingine akiwa na miaka 20 bado alikua anacheza ndondo kama sio kua ball boys.
 
They paid £75 mill for this gay
22b3cda1ca10305c9bdc7781438b47c1.jpg
 
£75 mill down the drain, and Virgil Van djik concedes again.
dc04a59f95c7d76641c71dd8bc8458f9.jpg

Kumbe Naongea na Mtu anaeangalia Mpira Bet365 badala ya kwenye TV? 😀 😀 😀 😀
Au Hujakifahamu Hichi Kilichoandikwa Kwenye Hii Picha. 😀

Katika Michezo 2 ya Anfield tokea aje VVD tume Concede Magoli 5 tu (Man City 3, Spurs 2).

Tuliyoconcede Kabla Ya Kuja Yeye....
Arsenal Pekee magoli 3
Chelsea goli 1
Everton goli 1
Leicester City goli 1
Burley goli 1

Jumla Tumeconcede Magoli 7.

Acha wivu huo na Vitakwimu Vyako vya Uongo.

Ukweli utabakia Kuwa VVD Ni Greatest Defender in EPL.
 
Ni unazi tu unaotumia VVD Anatusaidia Sana Katika Ulinzi na Leo Kafanya Clearance nyingi tu.
Hakuhusika na Kosa lolote la Kimchezo Kwa Leo.
Kama Ni Penalty (Ya 2) basi Kila alietazama Mpira anajua Ni Swala la Kimaamuzi Ndiyo tatizo ingawa si mantic yangu hapa kujadili au kulaumu maamuzi.
VVD yupo Juu labda tafuta njia nyengine ya Kutushawishi.
Huwezi mfananisha Na Jones wako.

Virgil van Dijk:

Games - 5
Goals conceded - 9
Clean Sheets - 0
Penalty given away - 1

£75 million.
 
Virgil van Dijk:

Games - 5
Goals conceded - 9
Clean Sheets - 0
Penalty given away - 1

£75 million.

Bado umesahau Kuwa VVD kafunga Goli moja kuwafunga Everton, na Jones Kafunga goli Moja Kuwafungia Spurs.

By the Way! Hizo Stats Hazihusiani na nilichokiQuote!

Mabeki Ni Wanne (2,3,4,5) na Kipa Ni Mmoja. Kwahiyo Magoli Yote tuliyoconcede inayohusika ni Safu ya Ulinzi na Kipa na Wala si VVD pekee.

Ni Ulimbukeni na Wivu Kumtupia lawama VVD wakati Kuna individual Errors za Kina Matip, Gomez, Lovren na Kipa.

Mfano Goli la Jana La Wanyama Ni wivu tu na Kujifariji ndicho Kinachokufanya Mhusishe VVD Na Goli lilifungwa Mita 25m.

VVD Ni World Class CB hilo halina ubishi na Jana Ameonesha performance ya hali ya Juu.
Na ubovu Wa Beki pale anapokuwa anafanya bad clearance zenye kujirudia na sio Accidentally foul in penalty area.

I'm sure you are deluded by your personal ridiculous emotion.
 
Ile n beki mkuu na hakuna beki bora asiyefanya makosa wanaombeza wanamatatzo yao
 
Bado umesahau Kuwa VVD kafunga Goli moja kuwafunga Everton, na Jones Kafunga goli Moja Kuwafungia Spurs.

By the Way! Hizo Stats Hazihusiani na nilichokiQuote!

Mabeki Ni Wanne (2,3,4,5) na Kipa Ni Mmoja. Kwahiyo Magoli Yote tuliyoconcede inayohusika ni Safu ya Ulinzi na Kipa na Wala si VVD pekee.

Ni Ulimbukeni na Wivu Kumtupia lawama VVD wakati Kuna individual Errors za Kina Matip, Gomez, Lovren na Kipa.

Mfano Goli la Jana La Wanyama Ni wivu tu na Kujifariji ndicho Kinachokufanya Mhusishe VVD Na Goli lilifungwa Mita 25m.

VVD Ni World Class CB hilo halina ubishi na Jana Ameonesha performance ya hali ya Juu.
Na ubovu Wa Beki pale anapokuwa anafanya bad clearance zenye kujirudia na sio Accidentally foul in penalty area.

I'm sure you are deluded by your personal ridiculous emotion.
Ni nani aliesababisha penalti?
 
Back
Top Bottom