Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Eric Lamella for diving and cheating referee, and Mr. Smart a lines man ambaye hakuwa na uhakika kuwa what exactly happened.
OVA.

ec081c62b62cbcc0540cd1e5edd162e4.jpg
Endelea kujidanganya.
 
hivi yule olechuga sijui nani amepotezwa na watu wasio julikana mbona simuoni kuja kuchangia
 
Hivi umepotea, hali ya hewa inakusumbua umekusudia ,unataka kuwa maarufu kwa mambo ya kijinga au basi tu huna cha kufanya na bando lako !!!?
Wenzako wengi sana wanakuja huku kwa style hiyo hiyo, kama ni kiki rudi kajipange au vamia uzi mwingine wa wakolomije na magurugujo.
Povu hili, manure urinated mashabiki wake wengi ni watu wa hovyo hovyo.
 
Back
Top Bottom