Rashford hajakamilika kabisa kiuchezaji, anapapara sana, Martial yuko vizuri sanaNdugu kwa nini humpendi Martial mbona ana kipaji kikubwa kuliko rashford? Japo wote ni potentials.
Ni majukumu pia rooney zile goli zaidi ya 250 hakuzifunga akiwa namba 9 au 10 tena chini ya alex ferguson ila ukikuta mchezaj hatal kukaba au kusaidia sehem fulan jua hatambui majukum yake tunataka mchezaj alietimia siku tukikosa mabek wameumia acheze de gea?Sanchez akikutana na timu kubwa atacheza fullback namba tatu kama young tu
Hii clean sheet ya leo ilikuwa ya ubaridi sanaLeo De Gea alikuwa likizo.
Wanakariri ule mfumo wa zamani namba tisa anaagiza tu kama yupo hotelini. Mpira umebadilika waona lindgard anavyopata nafasi sababu anamuelewa kocha kwangu mimi naona tumepata mrithi wa ji sung park namna lindgard anavyojitumaNi majukumu pia rooney zile goli zaidi ya 250 hakuzifunga akiwa namba 9 au 10 tena chini ya alex ferguson ila ukikuta mchezaj hatal kukaba au kusaidia sehem fulan jua hatambui majukum yake tunataka mchezaj alietimia siku tukiosa mabek wameumia acheze de gea?
Lingard anazidi kuimarika mkuu hilo halina ubish bado nguvu tu na maamuzi ya ukomavu kwenye suala la kuasidia kukaba yupo vizur sanaWanakariri ule mfumo wa zamani namba tisa anaagiza tu kama yupo hotelini. Mpira umebadilika waona lindgard anavyopata nafasi sababu anamuelewa kocha kwangu mimi naona tumepata mrithi wa ji sung park namna lindgard anavyojituma
Leo EPL haina Faraja Kwangu! 😀 😀 Hapa Mumeshinda! Na Kule Arsenal anammiminia Toni Kiama.
Bora Nikaangalie Movie hamna Namna.
Nimekusoma mkuu..!No,Pogba hakusema kitu bali ni Paul Scholes kuna kipindi timu ilikuwa haifanyi vizuri sana sasa yeye wakati anachambua baadhi ya mechi hizo akasema "inasikitisha sana kuona timu kama Man U ina wachezaji wasiojituma na kuwa tayari kuifia timu. Ukiangalia matokeo yanazidi kuwa mabaya kila siku ni aibu sana" Alipoulizwa yeye anahisi tatizo hasa ni nini? Akasema "Mimi nionavyo tatizo linaanzia kwa Paul Pogba, ukiangalia Man U inajengwa kumzunguka Pogba kwa hiyo anapocheza vibaya na timu haichezi vizuri. Pogba amekuja hapa kwa gharama kubwa na tuna matumaini makubwa na yeye lakini ukimuangalia hajitumi ipasavyo, yuko wapi Pogba Wa Juventus? Yuko wapi Pogba aliyekuwa anaonekana kila sehemu ya uwanja pale Juventus? Yuko wapi Pogba aliyekuwa anavunja ngome za wapinzani pale Juventus? Yuko wapi Pogba aliyekuwa anafunga magoli kutoka mita ishirni na tano pale Juventus? Ukijiuliza unaona ni mchezaji tu amefeli na wakati mwingine unaweza kuona pengine kocha naye anafeli, kwa sababu Ni aibu kubwa sana kwa timu kuwa na mchezaji kama Paul halafu akashindwa kutumika kwa kiwango kinachotakiwa". Mou alipoulizwa kuhusu maoni ya Scholes akajibu kwamba Scholes anatakiwa apuuzwe kwa sababu anamuonea wivu Pogba kwa hela anazoingiza pale Man U ndio maana ana msema Mara kwa Mara. Sahz naona somo limemuingia na anamchukulia hatua kimya kimya.
Angewaanzisha young na fellaini tungeponda tu...tumeshinda ila mpira hauvutii kabisa...kiukweli co kocha hatuna...😀 😀 😀 Sometime Yes Sometime no
Hongereni Plastic Fans kwa Leo kuonesha Positive Comments tupu Unlike Last Game.
Leo Naona Sijaona Comment ya "Mourinho Si Kocha".
Naona id mpya leo hazitumiki zimefichwa subir tufungwe zinachungulia na kurudi.
Bwana mdogo yuko poa sana nauona u Carrick ndan takeView attachment 690096
Kati ya vijana waliopandishwa na hii timu nahisi huyu anaweza kufanikiwa mtulivu mno naona kaandaliwa kuja kuwa kiungo cha ukabaji sikumuona akihama lile eneo lake ni suala la nguvu tu kwa sasa ila tukimpanga na wakina burnley maumivu.
Angewaanzisha young na fellaini tungeponda tu...tumeshinda ila mpira hauvutii kabisa...kiukweli co kocha hatuna...
Yule waliyetupa hajaishia tu kutoa mapande..yeye amefunga kabisa..Mikh tayari ametoa mapande mawili huko.
Leo hata angeanza nani ilikuwa ni kushinda tu..hii timu ilikuwa kibonde sana. Suala la Young/Pogba sio la kulinganisha na mechi hii (iweje mtihani mgumu i.e Totenham umpe Pogba na Young halafu mtihani rahisi umpe mcTominay na Shaw) kwanza leo Young angeanza magoli yangekuwa mengi, huyo Shaw sikumbuki/sijaona akipanda na kupiga hata krosi moja kwa Lukaku. Pamoja na ugumu wa Totenham juzi Young alipiga krosi ingawa si nyingi.Angewaanzisha young na fellaini tungeponda tu...tumeshinda ila mpira hauvutii kabisa...kiukweli co kocha hatuna...
Mkuu unampima huyo dogo kwa Huddlesfield inayoshuka daraja. Mpe mechi kubwa akae hapo kati alafu ndio urudi hapa kutoa maoni yako.Bwana mdogo yuko poa sana nauona u Carrick ndan take
Kijana anajituma sana na hana makuu ila linapokuja suala la Rashford wakiwa wote uwanjani Rashford akizinguliwa na kuzozana na mchezaji wa timu pinzani hapo lindgard huenda kutoa kibesi huwa burudani.Lingard anazidi kuimarika mkuu hilo halina ubish bado nguvu tu na maamuzi ya ukomavu kwenye suala la kuasidia kukaba yupo vizur sana