mkurya org.
JF-Expert Member
- Sep 25, 2014
- 1,571
- 1,696
Nahisi Sanchez ndo man of the match again
Walkua na uchungu na matokeo ya first roundThanks mashabiki wote walokuwepo pale OT maana kulikuwa na yowe flan hivi mwanzo mwisho.
muda mrefu nilikuwa namfuatilia sanchez kidogo Mata na Pogba wanamuelewa ila kuna kauzembe flani hiviBack pass style inatuumiza
Sanchez anaonyesha thamani yake ila awa wengine mhe
Naona anguko la Mourinho
amewaibisha wenzake uwanjaniSanchez pekee ndio aliyechafuka bukta.
Akiwa na rojoSmalling bonge la beki. Ametulia sana.
Haka kajamaa kafupi aisee
Hahaha mfupi kweliHaka kajamaa kafupi aisee
Sanchez atakutesa sana weweAlso new Penalty taker
Mpiga penalt ni martial na muda huo hakwepo!!Also new Penalty taker