Kila nikimuona Rashbeck kavaa uzi wa Manchester, huwa naamini hata ulaya kuna ndago
Chuki ni kitu kibaya sanaRashford in for Mata... Mou leo umenifurahisha sana huyo Martial muache aozee bench
Zama zetu tuliita URUGUAYJamaa wanacheza rafu balaa
Amekuwaje martial mkuu? Mbona mechi zote anaperform vizuri siku hizi. Hata ile ya tototo alifanya vizuri pia.Rashford in for Mata... Mou leo umenifurahisha sana huyo Martial muache aozee bench
Pole sana mkuuKila la Heri Huddersfield Town