Ferguson ndio anataka hiwe hivyo mpaka half time aje kumaliza biashara kipindi cha pili kwa kumtumia Rooney na Hernandez . Si unajua anachungulia na champions league pia.
Ferguson ndio anataka hiwe hivyo mpaka half time aje kumaliza biashara kipindi cha pili kwa kumtumia Rooney na Hernandez . Si unajua anachungulia na champions league pia.
Vipi pensioner Rio naye yumo khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee naona Wine Romney yupo bench baada ya sarakasi za euro .... ..... wapi Manda, Belo et al ... .... .... wamefunga safari Anfield au wanachungulia tu? .... .... ..... (6 members and 7 guests)
Evra anatafuta penalty khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeee kakumbuka kwamba walitoa brown envelopes , OOOps kumbe Manda upo mbona upo kimya sana leo ..... ...... .... ... au utakuja baada ya goli la matuta .....
Msijali sana wakuu Brown envelopes zitafanya kazi, Vipi mwizi wa maandazi hakuona ule mpira nini? Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee lakini poa tu kwa Manure, mwizi wa wake za watu naye yupo ..... ..
Belo za siku mkuu, ungo wangu upo kesho rasmi Emirates kulikuwa na mawingu sana leo nimeshindwa kutua Anfield si unajua tena sina kibali pale kwa hiyo leo nakesha na swala maalumu kwa ajii ya kesho. Unakaribishwa uone mtanange, hala hala si unajua tena nyinyi mnaweza kuhamia ICU kwa miongo kadhaa treni ndio engine ime-nock khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
BTW there is a new name ..... .... ....unamjua Mzee wa chuki binafsi? Soma tread ya loserfools ... ...