Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Bristol city kamfunga man barcelona kafungwa na espanyol lakin man hawez kumfunga barca kwa kuwa kafungwa na bristol city akili zako zipo timamu? Hilo nalo swali kama espanyol anamfunga barca why united ashindwe?
Kwani espanyol yupo daraja gani na Bristol yupo daraja gani?

Au unafikiri utamuwezs espanyol wewe?
 
United nyie ni vibaraka wa Madrid waume zenu ndio maana tuliwafunza adabu UEFA final 2009, 2011

Mwaka 2011 Pete ya babu ikapotea na kona hamkupiga hata 1
Hivi nyie wakwepa kodi wa katalunya humu mnafuata nini?

Hebu mkalipe kodi kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…