Martial na Rashford ni wazuri sana, sema sometimes wana vimbwembwe vya kijinga sana.....Lukaku hili jambo linamtesa mno la ubinafsi kila mtu anataka afunge daa spurs tu wameweza kuweka mfumo wao vizur ni kane tu lazima apate mipira
Pia tukifanikiwa kumpata sanchez sio mbinafs
Man u oyee! ...ccm oyeeeNawapenda sana Pundits wa jukwaa hili...ila nawapenda zaidi kwenye ule wakati wa kumeza matapishi yenu
Usilinanganishe man u na group la wehuMan u oyee! ...ccm oyeee
Mbona lukaku alishawahi funga.Hivi mara ya mwisho Manchester kufunga goal kwa mpira wa kona ilikuwa mechi na team ipi
kama si mzuri angekaa nafasi ya 2Maoni yangu ni Yale Yale,
" Manchester united Chini ya Jose mourinho hakuna Kitu"
"Mbinu za mourinho zimefika mwisho na team haitasonga popote chini ya mourinho."..
Angalieni Mapinduzi na mbinu za kiuchezaji za walimu wa Tottenham, Man city na Liverpool. Mourinho kimbinu huwa si mzuri. Huu ni ukweli mchungu.
Povu ruksa. Ila muda utanitetea siku moja. Msimamo wangu utabaki hivi.
Mbona huzungumzii kuwa Manchester united ilikuwa inaongoza ligi baada ya mechi kumi za mwanzo. Leo tuko Nafasi ya pili kwa tofauti ya 10+ points na Manchester city. Au hili hulijui.kama si mzuri angekaa nafasi ya 2
Unaona nini kifanyike?Mbona huzungumzii kuwa Manchester united ilikuwa inaongoza ligi baada ya mechi kumi za mwanzo. Leo tuko Nafasi ya pili kwa tofauti ya 10+ points na Manchester city. Au hili hulijui.
Tuanzie hapo kipi kimetufanya kushuka kutoka kuongoza ligi mpaka kupitwa na Manchester city kwa zaidi ya pointi 10.
Tulikuwa tunamzidi Chelsea zaidi ya pointi 10 Leo sisi tunapoint 53 yeye 50. Je, Timu imesimama au inasonga mbele????
Unakumbuka gap letu na Liverpool???
Inahitaji akili za jicho la tatu kujua na kubaini haya. Anyway huu ni Mtazamo wangu
Ninachompendea Sanchez ni mpambanaji, sio bishoo kama walivyo wachezaji wetu wengi.Lukaku hili jambo linamtesa mno la ubinafsi kila mtu anataka afunge daa spurs tu wameweza kuweka mfumo wao vizur ni kane tu lazima apate mipira
Pia tukifanikiwa kumpata sanchez sio mbinafs
Maoni yangu ni Yale Yale,
" Manchester united Chini ya Jose mourinho hakuna Kitu"
"Mbinu za mourinho zimefika mwisho na team haitasonga popote chini ya mourinho."..
Angalieni Mapinduzi na mbinu za kiuchezaji za walimu wa Tottenham, Man city na Liverpool. Mourinho kimbinu huwa si mzuri. Huu ni ukweli mchungu.
Povu ruksa. Ila muda utanitetea siku moja. Msimamo wangu utabaki hivi.
Ni kweli kuna waqt tunashinda kwa ngama au hata kutoa sare ya jioni pasipo sababu zozote zaidi ya kutotumia nafasi tunazotengeneza inaumiza sana kama sare na Leicester haikutakiwa kuwepo. Tunakosa sana magoli na hili la ulafi na uchoyo linashika kasi sana.Kwa jinsi martial alivyokua anaremba ndani ya 18, selfish ya rashford na kubana kwa pogba. Zote hizo zilikua open chances za kiscore....hapo analaumiwa Mou kivipi?
Mkumbuke hata na yeye anaumia kama nyie mashabiki, akiwa mkali ohooo anaua vipaji (maniner) mnataka aingie uwanjani kuwashika makalio ndio wafunge??
Kwa mbinu hizo una amini Manchester united itachukua ubingwa msimu huu ?????Mapinduzi ya kimbinu halafu makombe 0, unaitaji kuwa kichaa kukuelewa.