Ila hatujamfanyia haki mkhitaryan kalazimishwa kwenda arsenal kishaaga kesho sanchez atatangazwa jamaa kaondoka uwanja wa mazoezi akilia so sad japo tunamfurahia sanchez ila sijui kwa nini walimtanguliza huyu mchezaji wetu kwa nini wasingewapa arsenal hata £50 mana ile jezi wiki moja tu zinarud