Wild sniper
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 4,426
- 8,726
Ni kweli mkuu hata mimi sijafurahi na jamaa kuondoka hivyo ni bora angepewa choice hata ya kurudi ujerumani lakini ndo hivyo angebaki angekaa benchi sana maana Mou hamuamini tena.Ila hatujamfanyia haki mkhitaryan kalazimishwa kwenda arsenal kishaaga kesho sanchez atatangazwa jamaa kaondoka uwanja wa mazoezi akilia so sad japo tunamfurahia sanchez ila sijui kwa nini walimtanguliza huyu mchezaji wetu kwa nini wasingewapa arsenal hata £50 mana ile jezi wiki moja tu zinarud
Hata angekuja messi na Ronaldo hapo hamna kituView attachment 680259
Napita tu...
Wewe ni boyaUnited team yenye laana kuu bunrel njooni mpige hawa mbwa Leo wachomekeeni kabisa kitu kunako makalio ya mourinho
Wewe ni mfa majiWewe ni boya
We kwan kuna ki2 hapo....Hata angekuja messi na Ronaldo hapo hamna kitu
Miki nenda arsenal mahitaj ya team na kocha na aina ya Mpira wako haviendan
Wewe ni boya
Mkuu umeongea ya maana sanaMiki nenda arsenal mahitaj ya team na kocha na aina ya Mpira wako haviendan
Nenda arsenal wanacheza mpira wako nenda kaonyeshe ubora wako huko
Njoo Sanchez arsenal ulikua simba kwenye kundi la swala
Njoo Manchester ukutane na wapambaj wenzio kuanzia mashabik kocha mpka wachezaj
Hakuna wa kupoteza kila Team imeshinda hili kutokana na mahtaj yake
Tunapata jembe...kwa kupoteza jembe ambalo Mou hakuliona.Ila micki dah ndo hivyo tena hamna jinsi acha akajaribu maisha london..
Salute mkuu...jamaa ni jembe.Yah maisha popote ila anaweza kuwa na umuhimu ila timu ndio yenyewe ndio aina umuhimu wowote
Wachezaji wote muhimu.Simkubali Mou,lakini tumuache afanye kazi yake.Mou amekuja kurudisha heshima yetu iliyoanza kusuasua mikononi mwa Moyes.mnapenda sana kulalamika hadi mnaboa
katika mechi 6 za makundi za Uefa kombe muhimu Herrera amecheza mechi 5, mechi nne akianza na mechi moja kama sub
kwenye ligi katika mechi 23 herrera amecheza mechi 17 kati ya hizo 9 ameanza na 8 ameingia kama sub.
FA cup tumecheza moja na yeye ameanza
na carabao amechanza mechi 2
So far ameanza mechi 15 na kuingia kama sub mechi 13 jumla ni mechi 28.
Ndio kwanza tupo mwezi wa kwanza kuna miezi 5 hapo baadae tayari amecheza mechi 28 hali ikiendelea hivi hata mechi 40 atafikisha.
niwaulize nyie mnaoona anasugulishwa benchi midfield ya pogba na matic unamweka nani bench aanze herrera?
Tatizo lake akifikia rekodi fulani, ataamsha dude ili alinde rekodi yake na akaanze maisha mapya sehemu nyingine.Mashabiki uchwara wapo wakutosha...kwenye maisha ya kawaida tu akuna furaha ya kila siku.
Board ya United imefanya uchambuzi na kubaini Mou anatufaaa na wanataka kumuongeza mkataba.
Kinachomponza Mou n historia yake ya zamani tu, labda zile zilizokuwa zinaitwa bifu na wachezaji lakin kwa sasa ashakua mtu mzima.
Napenda sana kukaa muda mrefu na kocha mmoja , ila alete mafanikio tu.
There you're.Natumai huo mkataba utamfanya kuwa mchezaji anayelipwa zaidi katika timu