Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mkataba wa Manchester United kumsaini mshambualiaji wa Arsenal raia wa Chile utagharimu pauni milioni 180 baada ya Sanchez kukubali mkataba wa miaka minne unusu. (Telegraph)
Mkataba wa Sanchez na Manchester United utamlipa mchezaji huyo wa umri wa miaka 29, paunia 400,000 kwa wiki. (Independent)
 
Ona Herrera sasa anasugua mpaka kipaji kitapotea kabisa.
mnapenda sana kulalamika hadi mnaboa

katika mechi 6 za makundi za Uefa kombe muhimu Herrera amecheza mechi 5, mechi nne akianza na mechi moja kama sub

kwenye ligi katika mechi 23 herrera amecheza mechi 17 kati ya hizo 9 ameanza na 8 ameingia kama sub.

FA cup tumecheza moja na yeye ameanza

na carabao amechanza mechi 2

So far ameanza mechi 15 na kuingia kama sub mechi 13 jumla ni mechi 28.

Ndio kwanza tupo mwezi wa kwanza kuna miezi 5 hapo baadae tayari amecheza mechi 28 hali ikiendelea hivi hata mechi 40 atafikisha.

niwaulize nyie mnaoona anasugulishwa benchi midfield ya pogba na matic unamweka nani bench aanze herrera?
 
Swali zuri
 
Mashabiki uchwara wapo wakutosha...kwenye maisha ya kawaida tu akuna furaha ya kila siku.

Board ya United imefanya uchambuzi na kubaini Mou anatufaaa na wanataka kumuongeza mkataba.

Kinachomponza Mou n historia yake ya zamani tu, labda zile zilizokuwa zinaitwa bifu na wachezaji lakin kwa sasa ashakua mtu mzima.

Napenda sana kukaa muda mrefu na kocha mmoja , ila alete mafanikio tu.
 
Mkuu asubhui asubhui unaanza na lugha chafu mpka ikifika jioni sijui utakuwa umeshaingiza zambi ngapi za lugha chafu kuanzia mtaani, ktk jamii yako mpka humu majukwani..sio kosa lako ni malezi mabovu ya wazee wako na instgram ulipozoea
Upumbav ni lugha chafu....,kasome hata Bible utakuta verse nyingi tu zinazoelezea upumbav.
Narudia tena wacha upumbav ww..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…