Nnachoamini Mimi scholes ana uchungu na man U kuliko Mourinho na ndio maana hata Rais Wa Inter Milan Wa kipindi hicho anasema "tulitamani sana Paul acheze kwenye timu yetu,tukaenda Manchester na hundi isiyojazwa" ( hapa anamaanisha man u ndio wangesema kiwango wanachohitaji). "Lakini nilipomfata Scholes na kumueleza nia yetu akaniambia...tazama unataka nicheze kwenye timu yako? Ni rahisi tu,utahitajika kuinunua Man United hapo tayari ntakuwa ninachezea timu yako". Rais anasema " na hivi hakuwa hata na wakala majibu hayo alinijibu yeye mwenyewe na kufanya mambo yawe magumu zaidi"Unajiona ulivyo mweupe kichwani nani kakwambia kuwa na contract ndio Sababu ya kutofukuzwa[emoji15]
David Moyes alikuwa na mkataba wa miaka kibao ila aliitumia miezi 10 tu kama kocha wa Manchester united. Nikuulize Van Gal aliondoka mkataba ukiwa umeisha???
Nikuulize tena Mourinho alivyofukuzwa Chelsea mkataba wake ulikuwa umeisha??? Nikuulize tena wiki kadhaa tumeshuhudia kocha Tonny Pulis wa West Bromwich na Slaven Belisic wa Westham wakitimuliwa , Je sababu ilikuwa ni mikataba ??? Vipi kuhusu Carlo ancelot na Bayern Munich??? Una mfahamu kocha wa simba sport club Joseph Omog ?
Jibu ni moja wote hao walifukuzwa wakiwa na miaka kadhaa kwenye mikataba yao. Unapaswa kujifunza security ya kocha ni team kupata mafanikio tu na sio kupewa miaka 30 kwenye mkataba.
Nimekuona huna hoja, legends wa Manchester especially class of 92 huwa hawana soni hata Mara moja Moyes, Van Gal na Leo mourinho wakizingua wanaambiwa.
Leo mashabiki wengi wa Manchester united wanalalamika team haichezi vizuri ila scholes alikuwa ameshaliona hili long time wakati wewe ukiwa uko kwenu kwenye vibanda umiza ukitemeana mate na wenzako Paul Scholes believes Manchester United will NEVER play entertaining football under Jose Mourinho
Kama nilivyokwambia Legends wa Manchester united especially Paul Scholes huwa harembeshi Kama wewe unavyomtetea mourinho hata anapokosea, hapa Paul Scholes alimpa heko kwa usajili aliofanya Paul Scholes hails Jose Mourinho's 'great signings' at Manchester United
Soma alichosema Legend mwingine baada ya vita vua maneno kati ya Paul scholes na Mourinho na sio wewe kuwa biased wakati huna lolote unalojua
Neville steps into Mourinho and Scholes row over Pogba | Daily Mail Online
GGMU
Nnachoamini Mimi scholes ana uchungu na man U kuliko Mourinho na ndio maana hata Rais Wa Inter Milan Wa kipindi hicho anasema "tulitamani sana Paul acheze kwenye timu yetu,tukaenda Manchester na hundi isiyojazwa" ( hapa anamaanisha man u ndio wangesema kiwango wanachohitaji). "Lakini nilipomfata Scholes na kumueleza nia yetu akaniambia...tazama unataka nicheze kwenye timu yako? Ni rahisi tu,utahitajika kuinunua Man United hapo tayari ntakuwa ninachezea timu yako". Rais anasema " na hivi hakuwa hata na wakala majibu hayo alinijibu yeye mwenyewe na kufanya mambo yawe magumu zaidi"
Acha zako wewe unaelewa maana ya kuponda ??? Sijui wabongo tukoje, ndio maana hamtaki kukosolewa.kidunula1 mm nakubaliana na wewe asilimia 100 ila hawa kwa nn muda wote ni kuwaponda wachezaj na kocha?
haya yalimtokea henry anafundisha academy ya arsenal jion anawaponda wenger alimtimua achague kazi ya kufanya mana hawajengi wanabomoa yeye scholes anafaham toka sir alex yupo ni namna gani kahangaika kuliziba pengo la kean na la kwake scholes na hakufanikiwa dakika za mwisho scholes kastaafu kaombwa arud tena kwa kuwa hamna viungo wa kuziba lile pengo na sir alex alinunua viungo wengi kama mbadala lakin wap leo mourinho anaanza kuamka madongo yameanza
timu haikuwa na viungo wa maana wala mabek kocha ndo kaanza kanunua viungo pogba wote tumeona msaada wake kamleta matic wote tumeona msaada wake saiv anaangalia mbadala wa carick bek mbili na tatu + 7 na kwenye 11 alimuona perisic bahat mbaya mambo hayakwenda sawa mourinho ana kosa gani?
angalia wachezaj tulionao na nafasi tuliyopo angalia arsenal wakiwa fit bila malumbano ya sanchez na ozil na spurs na chelsea nafas walizonazo kweli kwa hilo mourinho wakumlaumu?
pia ananunua wakat huo huo anaangalia na kwenye academy scott na tuanzebe wapo pale wanapata uzoefu ktk sehem ya kiungo kampandisha angel gomez anapata uzoef sioni kosa la kocha.
Acha zako wewe unaelewa maana ya kuponda ??? Sijui wabongo tukoje, ndio maana hamtaki kukosolewa.
Hebu soma hapa kutoka ESPN On Pogba, Scholes and Mourinho were right
Halafu nani kakwambia Henry The Vava Voon alipigwa chini na Wenger kuwa kocha wa academy ya arsenal kwa sababu hiyo ya kiuchwara [emoji1] [emoji15] ... Ilikuwa bado kidogo nikuite muongo ila nimekustiri.
Wenger alitaka Henry aache kazi kituo cha TV cha sky sport ndio awe kocha na sio kufanya kazi ya ukocha na uchambuzi kwa muda wote. Yaani Wenger hakutaka kumuona henry Leo uwanjani kesho kwenye TV. Hilo suala halikuingia kichwani kwa henry. Unajua Henry Ni miongoni Mwa wachambuzi wakubwa wanaolipwa sky sport, sio rahisi kuacha hiyo kazi. Thierry Henry rejects Arsenal coaching role to continue as TV pundit
Kuweni mnakuja na Reliable Information na sio kutuhadaa. Mourinho sio mungu atapondwa anapostahili kupondwa na atasifiwa anapistahili. Ulivyo mweupe unadhani ni scholes pekee ndio humponda Mourinho..
Mcheki huyu legend wa zamani wa Liverpool tena wapinzani Wetu Sky Sports pundit slams Man Utd boss Jose Mourinho: These signings are not good enough
Haya mcheki Legend Wetu Crook akimponda Mourinho BBC pundit takes 'Special One' swipe at Mourinho over Man United selection
Mcheki king cantona kuwa hapendi tactics za Mourinho Jose Mourinho Brilliantly Responds To Those Who Criticise His ‘Defensive’ Style - Pundit Arena
Ila wewe hao wooooote hujawaona umemuona Paul Scholes tu, nyie ndio mnatutafutia Ban za Bure.
Good Morning Africa. GGMU

Morinho sio mbovu ata kidogo kk naungana na ww,ila tukubali kuambiwa ukweli kama tuna kikosi cha kawaida.pamoja na maoni ninachoshukuru mourinho kamnyoosha next time ataacha shobo kwenye kazi za wanaume wanaume wenye shobo ni kuwapa za uso tu by the way
utaendelea kuqoute kimpango wako mara sijui mourunho atoke ndo kwanza wanampa kandarasi mpya wenye timu na bod wameona kazi yake wenye shobo na ujuaji pigeni madebe tu
kwa kumalizia hapa hamna tulipojadili sijui giggs kumponda vana gal amasajili mbape yeye alichosema kuyumba kwa timu ni ubovu wa makocha wawili waliopita fukuzafukuza hajasema habar za mourinho mbovu
na wakimsema mourinho nnachompenda ni nyundo tu kama trump.
Morinho sio mbovu ata kidogo kk naungana na ww,ila tukubali kuambiwa ukweli kama tuna kikosi cha kawaida.
Narudia Maneno Yangu kwa Mara ya mwisho na ipo siku hii kauli itafukuliwa kama kufukua kaburi humu jamii forum,Tatizo tulilonalo sisi ni wachezaji mkuu hilo halina ubish na naungana na ww ila sio mourinho mbovu japo kuna muda huwa anakosea ila sio kila mara kumsema tu
Na kile kipindi morinho anachukua la liga kwa kuweka record ya kukusanya points nyingi na magoli mengi ya kufunga gadiola alikuwa wap?Narudia Maneno Yangu kwa Mara ya mwisho na ipo siku hii kauli itafukuliwa kama kufukua kaburi humu jamii forum,
MOURINHO HANA UWEZO WA KUIVUSHA MANCHESTER UNITED KWENDA NDOTO ZA MASHABIKI WENGI WANAVYOOTA MANCHESTER UNITED IWE. Saba u kuu ni hii
Mourinho hayupo vizuri kwenye mbinu (Tactics) na mara zote akikutana na makocha ambao wapo vizuri kimbinu huwa hafurukuti. Angalia alivyokuwa Real Madrid Licha ya lundo la masupastaa kama Ronaldo and the likes hakuweza kufurukuta na kuishia kutimuliwa. Unaikumbuka real Madrid chini ya Mourinho ilivyokuwa dhidi ya Barcelona ya Pep Guardiola ambae alikuwa vizuri kimbinu ???.
Mbinu zake zimekuwa "outdated" hazifanyi kazi kwa
Pep Guardiola atamfanya mourinho aweweseke sana kama alivyofanywa kipindi akiwa Madrid ... Yaani Mourinho hawezi kujitutumua kwenye ligi yoyote kwenye uwepo wa pep Guardiola .. Huu ni ukweli mchungu na utasema mbona Guardiola mwaka Jana hakuchukua taji lolote huku Mourinho akibeba ndoo mbili.
Jibu Langu: Guardiola anaweza kubeba vikombe viwili msimu huu na kuendelea na Mourinho msimu Jana ndio unaweza kuwa ndio msimu wake wa mwisho kubeba ndoo na united labda asiwe anakutana na mancity......
Daaa swali zur sana hili mkuu aiseeeNa kile kipindi morinho anachukua la liga kwa kuweka record ya kukusanya points nyingi na magoli mengi ya kufunga gadiola alikuwa wap?
Madrid walikaa muda gani bila kinyakua la liga? Na waliponyakuwa la liga pep hakuwepo?Narudia Maneno Yangu kwa Mara ya mwisho na ipo siku hii kauli itafukuliwa kama kufukua kaburi humu jamii forum,
MOURINHO HANA UWEZO WA KUIVUSHA MANCHESTER UNITED KWENDA NDOTO ZA MASHABIKI WENGI WANAVYOOTA MANCHESTER UNITED IWE. Saba u kuu ni hii
Mourinho hayupo vizuri kwenye mbinu (Tactics) na mara zote akikutana na makocha ambao wapo vizuri kimbinu huwa hafurukuti. Angalia alivyokuwa Real Madrid Licha ya lundo la masupastaa kama Ronaldo and the likes hakuweza kufurukuta na kuishia kutimuliwa. Unaikumbuka real Madrid chini ya Mourinho ilivyokuwa dhidi ya Barcelona ya Pep Guardiola ambae alikuwa vizuri kimbinu ???.
Mbinu zake zimekuwa "outdated" hazifanyi kazi kwa
Pep Guardiola atamfanya mourinho aweweseke sana kama alivyofanywa kipindi akiwa Madrid ... Yaani Mourinho hawezi kujitutumua kwenye ligi yoyote kwenye uwepo wa pep Guardiola .. Huu ni ukweli mchungu na utasema mbona Guardiola mwaka Jana hakuchukua taji lolote huku Mourinho akibeba ndoo mbili.
Jibu Langu: Guardiola anaweza kubeba vikombe viwili msimu huu na kuendelea na Mourinho msimu Jana ndio unaweza kuwa ndio msimu wake wa mwisho kubeba ndoo na united labda asiwe anakutana na mancity......
Nasubiria majibu kutoka kwakeDaaa swali zur sana hili mkuu aiseee
Hoja zake hazina mashiko,labda aseme tu anachuki zake na morinhoMadrid walikaa muda gani bila kinyakua la liga? Na waliponyakuwa la liga pep hakuwepo?
Chuki tu nakaibuka baada ya city kutufunga rud nyuma huko uone tulipokuwa tukishida goli nne kama utaona kaandika mourinho hana mbinu.Hoja zake hazina mashiko,labda aseme tu anachuki zake na morinho
ww ni me au ke?HIVI HII NI TIMU AMA GENGE LA WAHUNI????
Kuna watu wanapenda niwatukane kisha nirudi kulekule nilipotoka.......mm ni mumeoww ni me au ke?
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Kuna watu wanapenda niwatukane kisha nirudi kulekule nilipotoka.......mm ni mumeo
Hivi kwann mnahangaika na huyu punga, achaneni nae bhanaNa kile kipindi morinho anachukua la liga kwa kuweka record ya kukusanya points nyingi na magoli mengi ya kufunga gadiola alikuwa wap?