Akija bado atakuwa msaada sana kwa sababu naamini jamaa yuko nje ya kiwango chake kwa sasa labda kwa sababu ya umri ila naamini ni kipindi cha mpito piaKuna siku lakini itakuja kuwa kweli hasa this time.
Acha ujinga wewe kama vitu hujui kama kimya , Paul scholes ni muajiriwa wa kituo cha television cha BT sport pale England kama Football pundit ,sasa asiongee . Kuongea ndio kazi yake , Same To Rio Ferdinand na Lampard...
Huwa husikii anavyoongea Thiery Henry pale Sky sport....
Hao uliowataja wapo kimya kwa sababu hawafanyanyi kazi za uchambuz wa mpira.
Nevile yupo Pia Sky Sport, hizo ndio kazi zao hawarembeshi.
Nakubaliana na wewe....amedrop kiasi lakini sio wa kumbeza nafasi zikijitokeza. Akipata feeder wazuri, kwenye kitupia anajua sana tu bado.Akija bado atakuwa msaada sana kwa sababu naamini jamaa yuko nje ya kiwango chake kwa sasa labda kwa sababu ya umri ila naamini ni kipindi cha mpito pia
Mkuu kuchukua Europa league sio kupiga hatua? Kati ya van gaal, moyes na jose nani ana takwimu bora? Nani kaleta makwapa mengi kabatini?Narudia Tena na Tena Ikibidi tunzeni haya maneno ,
Manchester United chini ya Mourinho haiwezi kufika popote, Mbinu za mourinho zipo outdated.
Mbaya zaidi huwaponda wachezaji wa kigeni ila wakiharibu wakiingereza wanamponda kocha hawa kina Paul scholes ni wanafiki sana.wanaongea sana nao kwani beckham,cole,yorke na wakina soskjier hawaipend timu? kamnyoosha sana scholes muda wote kuwaponda tu wachezaj na kocha hata van gaal kuna muda walimpoteza uelekeo kampiga nyundo moja ya kichwa pwaaa
wamuulize maradona na ujuaji wake kaishia wap alipopewa timu au gary nevile
wakimbiwa wakaifundishe swansea city haina kocha wanalala mbele
Hizi takataka za nini?wangeziacha zisepe bure tulete vitu vipya aiseeManchester United has Extended the contract of Ashley Young, Ander Herrera, Daley Blind and Just Mata till Summer 2019!!
Mkuu lazima wapishane wajue utaratibu wa club ndo ya van gaal na wakina chicharito hiyo nzur watu wanachomolewa taratibu hata timu inakuwa na stabiityHizi takataka za nini?wangeziacha zisepe bure tulete vitu vipya aisee
Dah sawa mkuu ila mi nliona kuna aja kubwa ya kusafisha timu maana hadhi yetu inazid kushukaMkuu lazima wapishane wajue utaratibu wa club ndo ya van gaal na wakina chicharito hiyo nzur watu wanachomolewa taratibu hata timu inakuwa na stabiity
Duh! kauli kali sana hii khaswa kwa united mwenzetu hawa watu kwa nyakati tofauti wametuokoa sasa kuwaita taka taka huwatendei haki najua pana wakati ulishangilia moja ya vitu vyao vizuri.Hizi takataka za nini?wangeziacha zisepe bure tulete vitu vipya aisee
wanaongea sana nao kwani beckham,cole,yorke na wakina soskjier hawaipend timu? kamnyoosha sana scholes muda wote kuwaponda tu wachezaj na kocha hata van gaal kuna muda walimpoteza uelekeo kampiga nyundo moja ya kichwa pwaaa
wamuulize maradona na ujuaji wake kaishia wap alipopewa timu au gary nevile
wakimbiwa wakaifundishe swansea city haina kocha wanalala mbele
sawa ndugu kwa mawazo chanya. Hizo tetesi nimeziona kwa mbali,ila nimeona wanamzungumzia pia Lucas Moura Wa PSG. Ila naamini hata yule kijana tukimpata itakuwa ni addition nzuri sababu ana kasi na ujuzi mzuri pia. CR7 huwa simuamini hadi nione amekuja manake karibia kila msimu huwa anatingisha kiberiti ili aongezewe mkwanja pale Real.
Nakumbuka kipindi cha David Moyes hawa hawakufungua mdomo mpaka Moyes anatimuliwa. Lakini alivyokuja Van Gaala walianza kumponda sana na Mourinho na yeye wanamponda, ukiangalia wachezaji wetu wanaopondwa ni wawili au watatu.
Pogba, Lukaku na Martial, sijawasikia Rashford akipondwa kwa kukosa nafasi za wazi.
Nakumbuka 2012 Gary Neville aliletewa noma na Babu baada ya kumpiga mdomo David De Gea, pia Roy Keane alitimuliwa na Babu baada ya kuwapiga mdomo wachezaji wenzake.
Man United haina tabia ya kumvumilia yeyote anaepiga wachezaji wake mdomo, timu iko kulinda wachezaji wake.
Halafu hawa jamaa wana hasira sana baada ya Ed Woodward kuwakataa kwenye timu, Scholes alitaka kuwa kocha wa under 23’s lakini alikataliwa, Giggs alitaka kuwa kocha mkuu lakini alikataliwa tokea hapo ni mara chache sana anaiongelea Man United vizuri.
€1 billionRelease Clause ya CR7 ni € 1 bilioni, hakuna timu itakayoweza kutoa hiko kitita.
Kwamba ana wivu na pesa nyingi za pogba?Kwani Mourinho ameongea uongo kuhusu Scholes ?