mapundit wanasema kikosi hiki cha Man city ndio best ever team kwenye historia ya EPL, mimi nakosa hata point za kukataa.B2B kwa ligi hii asahau, but inatakiwa ifike hatua tukubali so far jamaa kafanya makubwa sana.
Naomba mimi niwe wa mwisho kukubaliana nao,mapundit wanasema kikosi hiki cha Man city ndio best ever team kwenye historia ya EPL, mimi nakosa hata point za kukataa.
mapundit wanasema kikosi hiki cha Man city ndio best ever team kwenye historia ya EPL, mimi nakosa hata point za kukataa.
Kama watamaliza msimu wa EPL bila kupoteza hata game mmoja na couple of draws hapo itabidi ukubali tu ,ila mimi naamini city watapoteza few matches along the way japokuwa sioni kama watapoteza ubingwaKwamimi Naipa Credit Hata Chelsea ya 2004/05 Kuwa ilikuwa Ni Best team Kuliko Man City hii lakini Pia Kati ya Hivi Vikosi Viwili Sijaona Kikosi Bora Cha Wakati Wote.
Pigeni kelele tu kombe la EPL mtalisikia tu kwa wezenu na wachezaji wenu wa 100 paundSawa Mou ni kocha wetu ......
Lakini ule ukweli anatakiwa kuacha dharau na kejeri kwa Mata....!! Hivi Lingard anaanza vp mbele ya Mata? Hata kwa jicho la kawaida Mou anataka kumdanganya nani kwamba Lingard yuko vizuri kulinganisha na Mata??.... dharau....!!
Sawa Rojo umeshaamua acheze kushoto (back).... huyo Young anafanya nini kwenye kiungo Kwanini usimpe nafasi Herrera??
Any away yeye ndiye anayaejua zaidi na Hapangiwi.... ila inakera
GGMU GGMU GGMU GGMU
Arsenal hawanaga akili za kupambania ubingwa unapambana na mtu ambae haongoz ligi wenger kiboko kawabadilisha mentality ya ubingwa had mnapigania nafas ya 4 na ya 2Ninyi wachovu curve inashuka hivyo mnahesabu?????
Zimebaki ngapi unajua?? Ss tunakula na ninyi sahani moja
Bado next match timu zishawajulia,muwe home or away
Sitegemei ka mtachenji,draw or lose for now
Let's see
GomezCallum Gribbin, RoShaun Williams, Angel Gomes, Matthew Olosunde, Demetri Mitchell and Joshua Bohui pictured training with the first-team.
View attachment 662369
↑↑ Kwanza Kabisa Jifunze Kucomment Kwa Kuelewa Je hapa tunajadili Nini??
→→ Pili, Hebu elewa Kama unapuuzwa! Mimi Wewe SikuQuote na Niliwahi Kukwambia Kabla Hujapigwa Ban hapo awali Kuwa USINIQUOTE!!! Kwahiyo narejea Tena Kukwambia TAFADHALI UNAPOKUTA POST YANGU USINIQUOTE...
"DO NOT QUOTE ME"
Mimi Naquotiwa na Watu Wanaojielewa Nini Wanazungumza Sio na Watu Kama Wewe! Please stay away from me! Sina Cha Kujadiliana na Wewe..!!!!
↓↓ Tatu, Jifunze Ustaarabu Katika Threads za Watu.
"You must behave yourself"
Namkubali sana huyo dogo angel gomez.Gomez
You guy must have been born before shame was discovered, upo korongoni huko nafasi ya sita still bado unapata ujasiri wa ku troll timu inayoshika nafasi ya pili!Ninyi wachovu curve inashuka hivyo mnahesabu?????
Zimebaki ngapi unajua?? Ss tunakula na ninyi sahani moja
Bado next match timu zishawajulia,muwe home or away
Sitegemei ka mtachenji,draw or lose for now
Let's see
Pole ka unaangaliA positionYou guy must have been born before shame was discovered, upo korongoni huko nafasi ya sita still bado unapata ujasiri wa ku troll timu inayoshika nafasi ya pili!
Only people born with chromosomal disorders can do that, am sure you are one of them.