ipogolo JF-Expert Member Joined Aug 15, 2011 Posts 6,280 Reaction score 5,987 Dec 26, 2017 #82,421 Mnashinda 2/1
princetx JF-Expert Member Joined Apr 6, 2012 Posts 587 Reaction score 265 Dec 26, 2017 #82,422 Konaball said: Tunapigana lakini mhh childish inasumbua pale mbele Click to expand... Zlatan anatucheleweshea ushindi
Konaball said: Tunapigana lakini mhh childish inasumbua pale mbele Click to expand... Zlatan anatucheleweshea ushindi
GUI1 JF-Expert Member Joined Oct 4, 2017 Posts 4,362 Reaction score 5,606 Dec 26, 2017 #82,423 Konaball said: Wachezaji wanacheza ilimradi wakati wa kushambulia utakuta mtu mmoja ktk box Click to expand... Pole mkuu
Konaball said: Wachezaji wanacheza ilimradi wakati wa kushambulia utakuta mtu mmoja ktk box Click to expand... Pole mkuu
K Konaball JF-Expert Member Joined Mar 11, 2009 Posts 2,949 Reaction score 1,940 Dec 26, 2017 #82,424 Tatizo la wachezaji wetu chenga hawajui dribing yao taabu awawezi kuombea pasi kwa mbele
OllaChuga Oc JF-Expert Member Joined Jul 4, 2016 Posts 21,933 Reaction score 25,245 Dec 26, 2017 #82,425 Bavaria said: UCL tumetolewa? Click to expand... hahahahaha unachekesha kweli kweli sasa kwenye Uefa napo unategemea hahaha dah!
Bavaria said: UCL tumetolewa? Click to expand... hahahahaha unachekesha kweli kweli sasa kwenye Uefa napo unategemea hahaha dah!
OllaChuga Oc JF-Expert Member Joined Jul 4, 2016 Posts 21,933 Reaction score 25,245 Dec 26, 2017 #82,426 radika said: Wameleta ofa au unasoma udaku? Nyie kombe gani mnalotegemea? Click to expand... Hizo ni khabari za uhakika mze.
radika said: Wameleta ofa au unasoma udaku? Nyie kombe gani mnalotegemea? Click to expand... Hizo ni khabari za uhakika mze.
T The _Analyst JF-Expert Member Joined May 26, 2017 Posts 466 Reaction score 564 Dec 26, 2017 #82,427 Bengazuu said: Leteni updates plus team news achaneni na haters tuliteteleka ila leo tunatoa kipigo cha mbwa mwizi. Sisi 4 wao 0 #GGMU# Click to expand... Sawa mkuu
Bengazuu said: Leteni updates plus team news achaneni na haters tuliteteleka ila leo tunatoa kipigo cha mbwa mwizi. Sisi 4 wao 0 #GGMU# Click to expand... Sawa mkuu
K Konaball JF-Expert Member Joined Mar 11, 2009 Posts 2,949 Reaction score 1,940 Dec 26, 2017 #82,428 princetx said: Zlatan anatucheleweshea ushindi Click to expand... Rashford ndio anatuchelewesha yeye ndio mwenyewe speed poor lakini
princetx said: Zlatan anatucheleweshea ushindi Click to expand... Rashford ndio anatuchelewesha yeye ndio mwenyewe speed poor lakini
OllaChuga Oc JF-Expert Member Joined Jul 4, 2016 Posts 21,933 Reaction score 25,245 Dec 26, 2017 #82,429 radika said: Giant wa england ukamfananishe na aston villa Click to expand... Tatizo la mournho anaua vipaji, angalia lukaku wa Everton alikuwa on fire, lakin huyu wa man u daah! mech kumi on target moja.
radika said: Giant wa england ukamfananishe na aston villa Click to expand... Tatizo la mournho anaua vipaji, angalia lukaku wa Everton alikuwa on fire, lakin huyu wa man u daah! mech kumi on target moja.
OllaChuga Oc JF-Expert Member Joined Jul 4, 2016 Posts 21,933 Reaction score 25,245 Dec 26, 2017 #82,430 come on Burnley pigaaaaaaaaa
K Konaball JF-Expert Member Joined Mar 11, 2009 Posts 2,949 Reaction score 1,940 Dec 26, 2017 #82,431 Boxing Day
J Jeho JF-Expert Member Joined Jul 2, 2011 Posts 5,069 Reaction score 5,551 Dec 26, 2017 #82,432 La pili hilo.
ipogolo JF-Expert Member Joined Aug 15, 2011 Posts 6,280 Reaction score 5,987 Dec 26, 2017 #82,433 2/0 maweeee
theriogenology JF-Expert Member Joined Oct 7, 2016 Posts 8,748 Reaction score 15,715 Dec 26, 2017 #82,434 Mourinho out....
ipogolo JF-Expert Member Joined Aug 15, 2011 Posts 6,280 Reaction score 5,987 Dec 26, 2017 #82,435 Mapilau.
OllaChuga Oc JF-Expert Member Joined Jul 4, 2016 Posts 21,933 Reaction score 25,245 Dec 26, 2017 #82,436 pigaaaaaaaaaaaaaaaaaaa hahahahahahaaa
J Jeho JF-Expert Member Joined Jul 2, 2011 Posts 5,069 Reaction score 5,551 Dec 26, 2017 #82,437 ipogolo said: Mnashinda 2/1 Click to expand... Imeshashindikana.
OllaChuga Oc JF-Expert Member Joined Jul 4, 2016 Posts 21,933 Reaction score 25,245 Dec 26, 2017 #82,438 cha pili icho
K Konaball JF-Expert Member Joined Mar 11, 2009 Posts 2,949 Reaction score 1,940 Dec 26, 2017 #82,439 Tunapigwa home na Bunley mhh..haya
HIMARS JF-Expert Member Joined Jan 23, 2012 Posts 72,949 Reaction score 102,723 Dec 26, 2017 #82,440 Burnley