Kocha hovyo, jinga na joga sina furaha kabisa na timuTumebaki na competitions 3, UEFA, EPL na FA. Sioni sehem tunanyanyua kwapa this season hapo. Truth be said..
Mourinho ni mpumbavu, hii defensive ideology yake inai cost team Sana, this time around Utd ikiongoza goli moja baasi inawaza kulinda tuu.
Imagine Jana, 1 goal n 1 man advantage then tunashindwa kumaliza game. Pathetic..
Kocha hovyo, jinga na joga sina furaha kabisa na timu
Mourinho ni Mpuuzi TuMkuu kamuunge mkono city hamna bana natania tutakaa sawa kila mech tukicheza hatukos mchezaj muhimu kuwa majeruh kwa mfano juz tulimkosa valencia na bailly kidogo inapunguza ushind sio muda wote kocha anafanya vibaya yafaa tumpe credit kujaza vitoto vingi na kufanya navyo kazi inahitaj moyo mana kipind alikiwa akiwapiga bench wakina martial tulikuwa tunalaum lakin sote tunaona wanafanya makosa yanayojirudia hatuna wachezaj wapambanaji level za wakina rooney mchezaj yupo tayar kucheza hata bek
Nasikia jones alimwambia herrera akacheze namba 2 lindelof apande namba 4 baada ya smalling kuumia lakin ander alikataa so unaona hapo hakuna wafia timu.
Tatizo lenu jirani zangu, muna maneno mengi. Nani hana majeruhi? Ushindi wa wazi kivipi? Kwa vyovyote vile hapa bongo wew ni Simba.Pamoja na hali ngumu iliyopo (majeruhi wengi, Mou kubaniwa mkataba, kutoa draw mechi ya ushindi wa wazi last week) lakini Leo Burnley lazima wakae, lazima wapigwe vizuri. All the best MUFC.
City na united nani ana mashabik wengi hapo ndo utajua kwa nini huwez kuongea na mafanikio ya timu yako huwez kuchonga ikiwa una makombe 3 hata leo madrid wakiamua kuongea nani atawashinda na zile ndoo 12 za ulaya lazima uufyate tu sio maneno mengi pia city sioni kama wana majeruh wa kwamba timu iweza kupoteaTatizo lenu jirani zangu, muna maneno mengi. Nani hana majeruhi? Ushindi wa wazi kivipi? Kwa vyovyote vile hapa bongo wew ni Simba.
Tatizo uongeaji wenu wakijinga. Barca na madrid hazina mashabiki? Hapa bongo Yanga haina mashabiki?City na united nani ana mashabik wengi hapo ndo utajua kwa nini huwez kuongea na mafanikio ya timu yako huwez kuchonga ikiwa una makombe 3 hata leo madrid wakiamua kuongea nani atawashinda na zile ndoo 12 za ulaya lazima uufyate tu sio maneno mengi pia city sioni kama wana majetuh wa kwamba timu iweza kupotea
Kaangalie ktk hizo timu ni yup duniani anaongoza kwa mashabik wengi sasa wewe utaongea nini ndugu yangu timu imeanzishwa 2008? Kuna muongeaji wa akil au hujui maana ya ushabik mpira mchezo wa dhihaka mnachukia kwa kuwa hamna kitu sasa wewe vikombe vitatu utasema nnTatizo uongeaji wenu wakijinga. Barca na madrid hazina mashabiki? Hapa bongo Yanga haina mashabiki?
Tatizo uongeaji wenu wakijinga. Barca na madrid hazina mashabiki? Hapa bongo Yanga haina mashabiki?
Mkuu kamuunge mkono city hamna bana natania tutakaa sawa kila mech tukicheza hatukos mchezaj muhimu kuwa majeruh kwa mfano juz tulimkosa valencia na bailly kidogo inapunguza ushind sio muda wote kocha anafanya vibaya yafaa tumpe credit kujaza vitoto vingi na kufanya navyo kazi inahitaj moyo mana kipind alikiwa akiwapiga bench wakina martial tulikuwa tunalaum lakin sote tunaona wanafanya makosa yanayojirudia hatuna wachezaj wapambanaji level za wakina rooney mchezaj yupo tayar kucheza hata bek
Nasikia jones alimwambia herrera akacheze namba 2 lindelof apande namba 4 baada ya smalling kuumia lakin ander alikataa so unaona hapo hakuna wafia timu.
Hapa Mourinho ndiyo anatuonesha Nini?? Kusema ikisha akameza Maneno Yake Ni jambo la kawaida Kwake!!
Makocha Wanapolalamikia injury asiwaone Wajinga na Kujiona Yeye Mwerevu pale Yanapokuwa Hayajamfika.
Kaangalie ktk hizo timu ni yup duniani anaongoza kwa mashabik wengi sasa wewe utaongea nini ndugu yangu timu imeanzishwa 2008? Kuna muongeaji wa akil au hujui maana ya ushabik mpira mchezo wa dhihaka mnachukia kwa kuwa hamna kitu sasa wewe vikombe vitatu utasema nn
hilo nimeongea mm sio mourinho yeye hajalalamikia majeruhi mkuu.
Mazowea mabaya. Mwaka huyu mtakoma tu!!! Mmeshazoea kuzoa zoa makombe. Tutaona mwaka huu.
Acha wivuMazowea mabaya. Mwaka huyu mtakoma tu!!! Mmeshazoea kuzoa zoa makombe. Tutaona mwaka huu.
Wivu gani? Ukweli mkuuAcha wivu