Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Baada ya kuitenda miujiza sehemu tofauti duniani. Messi alitoka Camp Nou akafika mji wa Madrid. Watu wengi walijaa uwanja wa Santiago Bernabeu kumlaki mfalme huyo wa soka... Atoaye ubatizo wa moto.

Natazama kulikuwa na mchezaji wa Real Madrid aitwayeCR7..Naye amepata upofu wa kushindwa kuziona nyavu za timu pinzani. Aliposikia Messi anapita alipaza sauti.. Mesiiiiiii, mesiiiiiii mfalme nihurumie...Nataka kuona Ili nianze kufunga tena.

Messi alipomuona moyo wake ukaingiwa na huruma. Akamfuata, akamwambia..Maadam umekiri mimi ndiye mfalme wako. Nakuamuru uone tena sawa sawa na imani yako. Baada ya kuona, Cr7 akamwambia Messi, nitakufuata popote utakapokwenda.

Messi akamjibu, nenda kwenye ofisi ya Frolentino perezz. Akupe nauli Urudi Ureno, ukapate kusimulia miujiza aliyokutendea LIONEL MESSI LAPULGA
 
Only 20, but games already in a Manchester United shirt
na ndio maana jana kikafanya upumbavu we badala ya kwenda kushambulia tupate bao la 3 kinarudisha mpira nyuma
 
This is unforgivable. 3 people on 1 defender with lukaku on the middle and mkhi on the right but he refused to pass and slowed down!! Rashford you’re a young talent but u really pissed us off this time
Huyu dogo sio talented mkuu bahat media zipo kwao tu jana huyu na yule jesse wamenikera mno toka nianze kuishangilia hii timu jana limetokea jambo la ajabu martial yupo ndani ya sita katungua nazi aiseee
 
yani kama mikosi ivi akifungwa chelsea na sie tunafungwa akisuluhu na sie tunasuluhu yani huyo ndio tunaendana nae yule anaeongoza ligi hatuna hata mpango nae wa kumfukuzia
 
yani kama mikosi ivi akifungwa chelsea na sie tunafungwa akisuluhu na sie tunasuluhu yani huyo ndio tunaendana nae yule anaeongoza ligi hatuna hata mpango nae wa kumfukuzia
Hahahahha hatar sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…