Sio lazima uelewe anayofanya MourinhoIla sio kwa Ibra kuendelea kubaki pale,ilibidi awe na ule msimu mmoja tu aondoke.. ndio maana sijaelewa hadi leo ni kwanini Mou alimtoa Rooney kama anaendelea kukomaa na Ibra!
Hivi ni mimi tu naona Man Utd wanacheza kama wako mazoezini?