Keyboard_Warrior
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 6,101
- 10,463
Njia ya kumshinda unayehisi amekutukana ni kujenga HOJA tu Kiongozi...Mashabiki wenzangu wa Man United....haters washavamia jukwaa letu,Nawaasa,wakitukana msiwatukane huo ndio utaratibu wetu hapa!!
Harsh reality!You are not going to win EPL this season man!! but being positive is good thing either
Thou you will be in the tittle Race up to the End but i cannot see any team winning Except the League Leaders
before new Year there is a high possibility of Gap of points to Increase even Further if man utd wont be very very careful....They should not let that happen at any cost
Ahahaaaaaaaaaaah...
Naona umeshafika mkuu..?
You are not going to win EPL this season man!! but being positive is good thing either
Thou you will be in the tittle Race up to the End but i cannot see any team winning Except the League Leaders
before new Year there is a high possibility of Gap of points to Increase even Further if man utd wont be very very careful....They should not let that happen at any cost[/QUOT
Time will tell
Anachokijua huyu kijana ni kubadilisha mitindo ya nywele kila siku..!
Sasa kuna Mdau mmoja humu anakuambia kwa timu hii,Man Utd ana nafasi ya kuchukua UEFA na EPL...Hii timu inatia aibu sana aisee wanaruka ruka tu... Hii timu ndogo lakini imetuzidi kimpira tena sana kuanzia possession mpaka shorts on target..
Ahahaaaaaaaaaaah...Game nyepesi kwetu tunashinda hofu yangu ipo kwenye hatua ya nusu
Naona leo umetulia kwenudaaah sad
ila madogo wana fullteamwork na magoli yao mazuri mno
Ahahaaaaaaaaaaah...kama kawaida yangu
Nimekuja kuwajulia hali majirani
Hawajalala hawa timu zetu zikifungwa wanakesha makwetu hadi saa 12 asubuhiAhahaaaaaaaaaaah...
Majirani zetu wamelala Kiongozi...
Naamini wakiamka watakuja na majibu ya salamu zako..!
Ahahaaaaaaaaaaah...Hawajalala hawa timu zetu zikifungwa wanakesha makwetu hadi saa 12 asubuhi
Sa hivi nadhani wanaangalia 2 jinsi notifications ja jf zinavyoingia kwenye device zao
Ngoja ntawaibukia saa 1 asubuhiAhahaaaaaaaaaaah...
Wanatengeneza hoja,watakuja tu..!
Kwa timu hii ya leo ya Mou haiwezi kuchukua kombe lolote, lakini kwa ile fast eleven ya Man U inachukua makombe yote hayo bila tatizo.Sasa kuna Mdau mmoja humu anakuambia kwa timu hii,Man Utd ana nafasi ya kuchukua UEFA na EPL...
Watu wanachekesha sana humu ndani..!
Duuh hivi tatizo la man u nini?