EPL huwa ina maeneo yake ya timu iliyoko kileleni kuanguka
December-wakati wa mechi nyingi,hili inaonekana City kalipita tayari ama kashafaulu kwa asilimia nyingi
Xmas na Mwaka Mpya-hapa pana mtego mbaya sana wa timu kupoteza points,wachezaji wanawaza sana kuwa na familia zao kipindi hiki lakini kunakuwa na game ngumu katika tofauti ya muda mfupi tu
January-Machi wakati ambapo wachezaji wanapata ile kitu inaitwa fatique baada ya kuwa wametumika ipasavyo sehemu kubwa ya msimu...hapa ndio utaona watu kama De bruyne hawachezi tena kiwango chao mpaka wapate refreshment
May yenyewe ambapo timu nzuri zinakuwa na mashindano mengi magumu wakiwa karibu kuchukua ubingwa yaani hatua za juu zaidi.
City akipita majaribu hayo ndio atabeba kombe la EPL
Vinginevyo nashauri tujikite katika kuwaza timu yetu na sio kuangalia City anafanya nini