Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Lakini kuna mechi kadhaa, hata ile ya Manchester City, aliwaanzisha kwa pamoja.
Kabla ya ile mechi kuanza, niliandika humu tutakuwa outnumbered and outplayed in midfield and that what happened. Mechi iliofuata akamuweka mmoja bench na kumuongeza Mata tukashinda kama leo. Tofauti ni nini? Ni hivi Martial na Rashford wote wanacheza pembeni hivyo katikati anabaki Herera na Matic vs 3 or 4 opponent's midfielders, ila Mata akiwepo anaingia kati hivyo kunakuwa na Mata,Matic,Herrera timu inakuwa na balance.
Pogba akirudi Mata bench kwa mechi ngumu atabaki Herera ,Matic na Pogba mechi ikiwa laini Mata ataanza.
 

Nakuongelea wewe, siyo fans in general! Mzee inawezekana una comprehension deficiency. Yaani unarukaruka kama mahindi kwenye popcorn machine! Kwani nafanya discussion na fans wote ama wewe?

Do you have membership card? Have you ever bought a ticket to from United’s ticket sales? Do you have even a genuine United’s merchandise?

Anyways, I’m not going to respond to you anymore. You have so much negativity that I don’t want to read or hear in this festival season!

One love!
 
Siku hizi Utd ni underdogs tu...

Ata OT wanajihami na kupaki basi
 
anazingua huyu atuachie Manchester united yetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…