Doh! Ndiyo aje hii?...watauchukua lakini wakiwa wamekalia tako moja.
Watauchukua kwa shida mkuu na wasi wasi mwingi...maana raia watawapumulia kwa karibu sana.Doh! Ndiyo aje hii?
SurrenderedWakuu...hawa city wanavyotiririka balaa....ila siamini kama watachukua ubingwa kirahisi....watauchukua lakini wakiwa wamekalia tako moja.
All aboard! 7 times Jose Mourinho parked the bus... and what happened nextCorrect me if i am wrong, MOU parking the Bus ameanza Inter not Chelsea. SAF kutomfunga Mou tayari it is proving my point, kwamba Mou wa sasa sio yule wa mwanzo, kwa sababu kama SAF anacheza sasa with his style, Mou analiwa, maana MU ya SAF hawaweki mapambo harusini, wakilisogelea goli tu, wanasukuma rungu. MOU yule alihakikisha Chelsea inakuwa timu tishio alitengeza timu ambayo ilibalance kwenye section zote, Defense walikuwa vizuri, mido palikuwa vizuri na ukija uko mbele ukiambiwa ummark Drogba kichwa kinaanza kuuma. Chelsea ilikuwa chelsea wakati wake, na foundation aloiacha chelsea ndio mpaka sasa imekuwa bado iko top 4. MOU sasa amekwisha, sikatai kila kocha ana falsafa yake, ata LVG alikuwa na falsafa yake, cheza pasi magoli si lazima, David mayai nae cheza kiudosho lakini usijue unafanya nini. MOU, park the bus tupate 1 point.
Usibishe kabisa ukanambia MOU ndio yule yuleeee...... maana basi kaanza kupark inter, apo tayari kashatimuliwa chelsea.
Kesho mna draw nyie mashetani
Mpira una matokeo matatu ushindi,suluhu,kupigwa ukiwa hubeb matokeo mfukon mwako huwezi kujiuliza maswali mepes kama hayo.Dah leo sijui kama tutapunguza gap kubaki 11. Nahisi zitabaki 14 ama 12.
aiseeee kweli tupuThat is what is missing, mechi ile juzi city fans wanaimba park the Bus park the Bus manutd!!! Let him play his defensive football, but that should be the last resort. Man utd lack motivation and the need to shut their rivals.
Time has changed, ilikuwa vita baina ya MU na Liver, imekwisha imeingia MU na Arsenal, imekwisha, sasa ivi MU haina vita na yoyote, Kuna vita ya Mourinho na Guardiola na Guardiola hana time nae sasa ana focus kwenye kujenga MC. The Fall of MU and the rise of MC itatokea ikiwa MU board is not serious about football anymore.
That is what is missing, mechi ile juzi city fans wanaimba park the Bus park the Bus manutd!!! Let him play his defensive football, but that should be the last resort. Man utd lack motivation and the need to shut their rivals.
Time has changed, ilikuwa vita baina ya MU na Liver, imekwisha imeingia MU na Arsenal, imekwisha, sasa ivi MU haina vita na yoyote, Kuna vita ya Mourinho na Guardiola na Guardiola hana time nae sasa ana focus kwenye kujenga MC. The Fall of MU and the rise of MC itatokea ikiwa MU board is not serious about football anymore.
ifike mahali tutambue mchango wa mournho ni mkubwa mno ukikuta hata wamiliki wa timu hawaongei ujue wameona kuna kitu mashabik siku zote ni watu wa matokeo
kuijenga timu iliyoondokewa na kocha aliedumu kwa kipind kirefu sio jambo jepes hata arsenal akiondoka wenger mtaniambia shughuli yake