5 goals za city bado zinakugegeda
City ndo bingwa wa epl ilo halipingiki ila tunafurahi kulikua na kauli kua hatujawahi fungwa uwanja wetu mara cc ndo tutamsimamisha huyu mtu mara sisi ndo tunagombea nae ubingwa hahahaaa jana mtt kalale kwa jilani na "fyatu" vyake
Alikuwa na kikosi finyu jana, Wachezaji wanne muhimu hawakuwa uwanjani, City ni timu nzuri lazima ucheze nayo kwa tahadhari, kufungwa ni matokeo na mpira ni mchezo wa makosa, ukiangalia jana tulicheza vizuri zaidi ila bahati haikuwa yetu.Mourihno anakosa nn mpaka anakua na approach mbovu hv dhidi ya timu kubwa?
Bahati Mbaya tu kwetu ilikuwa janaDaah Lukaku ametugharimu sana!
Unajenga timu mwaka wa ngapi huu?Guardiola kaja lini? Unanunua wachezaji kwa record ya dunia unaishia kupaki basi!!
Kufungwa Match tatu, round ya kwanza, kunatutoa nje ya line ya ubingwa kwa kiasi flan, lakini kikubwa ni kushinda sana ili kuziondoa droo, mana tumeshapoteza point zaidi ya 12 sasa.Rasmi tupo nje ya mbio za ubingwa, point 11 tulizoachwa na City ni nyingi sana!
Mimi Kabla Ya Ligi Kuanza Kama Utafatilia Comments Zangu Kwenye Uzi Wetu Basi Nilisema Kwa Kigenge Tulichonacho Hatuna Safari...
Na ilipoanza Ligi tu Nikajua Wazi Kuwa Man City Ndiyo Wenye Timu Ya Ushindani na Kuchukua Ubingwa....
Na Nikajua Wazi Kuwa Man United Wana Timu Bora Kuliko Man City Lakini Nikajua Wazi Kuwa Mourinho Ni Obstacle Ya Man United Kuchukua Ubingwa...
babu fegi alikua na timu ya kawaida sana ila ilikua inapambana hatari ila kuna baadhi ya mechi tulibebwa na bahati na si soka la uwanjani....hao city rejea mechi zao 2 za nyuma na soton na westham ndio utajua nini nachokiongeleaSi kweli, hata Mourunho anasema hivyo ili kupata huruma kutoka kwa kwa watu kama nyinyi. Hivi kwa jana tulifanya nini kikubwa kinachoweza fanya sema city walishinda kibahati? Possession yenyewe ilikua United 25% na City 75%. Tulipiga mashuti mangapi golini, na tulitengeneza nafasi ngapi za wazi kulinganisha na wao hadi tuseme jamaa walikuwa na bahati? Mourinho anafeli kwa uoga wake halafu anasingizia bahati. Bahati tulikuwa nayo sisi tulipowafunga arsenal.
na hawa jamaa kwa bahati tu wamejaliwa kwa kweli2011/2012 review
United then went on an eight-match winning streak to open up an eight-point gap at the top, but two defeats, including one courtesy of a Vincent Kompany header, against City, and a 4-4 draw against Everton left their rivals ahead on goal difference going into the final match.
Unajua kilichotokea
City took on QPR, still not safe from relegation, while United faced mid-table Sunderland. Wayne Rooney's goal gave United the win they needed and Djibril Cisse and Jamie Mackie cancelled out Pablo Zabaleta's opener at the Etihad Stadium to leave United on the brink of a 13th Premier League title.
Then, against 10-man QPR following Joey Barton's dismissal, Dzeko levelled in the 92nd minute and, with virtually the last kick of the match, Aguero's cool finish made City champions. Fans streamed on to the pitch as a historic first Premier League triumph was confirmed.
Katika football kila kitu kinawezekana...kama huamini waulize wazee wa kubeti....
hii ngoma mpaka christmas tulikua tunaongoza sie ligi lakini kilichokuja kutokea sasa kwanin usiseme ni bahati ilichangia kwa 100%2011/2012 review
United then went on an eight-match winning streak to open up an eight-point gap at the top, but two defeats, including one courtesy of a Vincent Kompany header, against City, and a 4-4 draw against Everton left their rivals ahead on goal difference going into the final match.
Unajua kilichotokea
City took on QPR, still not safe from relegation, while United faced mid-table Sunderland. Wayne Rooney's goal gave United the win they needed and Djibril Cisse and Jamie Mackie cancelled out Pablo Zabaleta's opener at the Etihad Stadium to leave United on the brink of a 13th Premier League title.
Then, against 10-man QPR following Joey Barton's dismissal, Dzeko levelled in the 92nd minute and, with virtually the last kick of the match, Aguero's cool finish made City champions. Fans streamed on to the pitch as a historic first Premier League triumph was confirmed.
Katika football kila kitu kinawezekana...kama huamini waulize wazee wa kubeti....
kwangu ni bora aje dyabala kulko huyo perisicTetesi
MAN UTD BADO WANAMTAKA PERISIC
Manchester United bado wanaitamani huduma ya Ivan Perisic baada ya kumkosa winga huyo wa Inter uhamisho wa majira ya joto, kwa mujibu wa The Sun .
Mchezaji huyo wa kimataifa wa Croatia alisaini mkataba mpya kubaki Italia, lakini mchakato huo ulifanyika kutunza thamani yake ila anaweza kupatikana Januari kwa dau la £45 milioni.