Addition of one msamiati kwa my vocabulary: COCASTIC...hahahahaha! asante Quest...thy was MANDASTIC aiseeee...kama enz zangu nikiwa Lipuli ya Iringa! lmao!
Hao niliowabold hivi wapo wapi??? 2000 kipindi nasoma IRINGA walikua wanatisha sana IRINGANI.....na uwanja wao wa SOKOINE...... Nimedeku sana mechi zao.........
Najaribu kufikiri hapa kama wachezaji wa Man U wataendelea na tabia yao ya kutaka kutoka uwanjani na mpira kwapani, leo final score inaweza kuwa bao 5 (Rooney 3) au 6 (Chicharito 3) kwa Man United.
PENALTY MISSED! (Rooney 55) PENALTY to Manchester United! And what a break! Nani thunders and shot against the underside of the crossbar and then, in trying to get to the rebound, he is adjudged to have been fouled by Jose Bosingwa!
Naona tofauti ya Wenger na Fergie, Fergie kashasoma mchezo anafanya mabadiriko japo anaongoza 3-1. Wenger hapo angeangalia tu watu mpaka wanarudisha na kuongeza .