Kweli, José aliogopa hii game sijui kwanini! Defence ya City ipo shitty sana, ikipewa sustained pressure, ni easy to collapse. I thought angemwingiza Mata mapema, na angeanza na two strikers mbele.
Anyways, the race is still on. City can’t sustain this pace until May, unless they only decide to focus on EPL.
Ukiona timu. Mpaka mabeki wanafunga. Basi ujue msimu huo hyo timu itachukua kombe.
sijapenda man u kufungwa. Maana Chelsea. Tunakuwa na kazi kubwa kuwafikia man city.
Hakuna Mchezaji Asiye Mchoyo na Asiye na Roho Mbaya Kama Lukaku... 😀😀😀 Yani Alipoona Golini Kwa Wapinzani Hafungi Basi Kaamua Kuja Kusaidia Wapinzani Wafunge Golini Kwake 😀😀😀
Guardiola ni the best coach in the world.
Ligi ambayo tulidhani ina upinzani kuliko ligi zote duniani inapata bingwa by christmas. Kumbe hata la liga jamaa aliifanya tudhani ni ya barca tu.
He's genius.
wachezaji ukiacha individual mistakes wanacheza kulingana na
maelekezo ya kocha.
city wanafungika ukicheza Mpira...na wachezaji wa kufunguka wapo utd y asiwatumie?