moja moja mpaka sasa, na wao wana stones na otamendi ndani.... Man city ni timu inayofungika, lau kama tutakuwa tunatafuta goli kama tulivotafuta la kwanza, man city analiwa 4G. beki zake bado.....
Kweli mkuu, yaani tulivotafuta suluhu nimegunduwa kuwa jamaa ni very vulnarable, na hawawezi kucheza kwa pressure football.... hawa jamaa tunaweza kuwatwanga 4G au 5g