Tafsiri yake inakuwa ni nini hasa...ni kwamba hauziki mpka akose mdhamini au wakala wake kashindwa kutafta mdhamini ? Je club haina mkataba mfano labda na adidas iwapo itatokea kwa swala kama ilapo liwe linakuwa covered na mdhamini ,kama anatengeneza izo bidhaa pia ?
The Belgian is currently without a boot sponsor, and appeared to colour over the Nike tick on his all-black boots on Tuesday, something Mourinho jokingly referred to after the game.
Club huwa haziwabani wachezaji kwenye viatu, kila mchezaji yuko huru kuchagua kiatu chake alipwe yeye. Hapo inabidi agent akuuze kwa kampuni za viatu.Tafsiri yake inakuwa ni nini hasa...ni kwamba hauziki mpka akose mdhamini au wakala wake kashindwa kutafta mdhamini ? Je club haina mkataba mfano labda na adidas iwapo itatokea kwa swala kama ilapo liwe linakuwa covered na mdhamini ,kama anatengeneza izo bidhaa pia ?
Tafadhari badilisha hiyo 4-1 iwe 4-2Meneja wa klabu ya Manchester United, Jose Mourinho ameeleza namna alivyochanganyikiwa na mpira wa adhabu “free-kick” uliyoenda kupigwa na winga wake, Ashley Young katika mchezo wao wa hapo jana usiku dhidi ya Watford.
Mourinho alishtushwa kwa kitendo cha winga huyo kupiga mpira huo uliyokuwa umbali wa mita 30 ilihali si miongoni mwa wachezaji wazuri waliyopangwa kupiga mipira ya haina hiyo.
Wakati wa kwenda kupigwa kwa mpira huo meneja huyo wa United alionekana kuchanganyikiwa kupitia kamera zilizokuwa zikionyesha mchezo huo.
“Nilishitushwa na kitendo cha Paul kumpatia nafasi ile ya kupiga mpira.” Amesema Mourinho.
“Sikushangazwa na shuti lake bali kupata ile nafasi ya kupiga mpira hakika yupo vizuri na kiwango chake kinaridhisha katika mazoezi kwahio tunafahamu ataendelea kufunga lakini Paul pia amefanya vizuri.”
Wakati huo huo Mourinho ameelezea sababu ya Lukaku kuvalia kiatu cheusi katika mchezo.
Lukaku amevalia kiatu cheusi jana katika mchezo wetu dhidi ya Watford nafikiri anahitaji kupata mdhamini mwingine wa kiatu chake kwakuwa aliyekuwa nae mwanzo wamemaliza mkataba nahiyo ndiyo sababu.”
Katika mchezo wa hapo jana usiku Manchester United imechomoza na ushindi wa mabao 4-1 dhidi ugenini dhidi ya Watford huku winga ambaye ahkupewa nafasi kubwa ya kufunga Ashley Young akitupia mawili kati ya hayo.
Tafsiri yake inakuwa ni nini hasa...ni kwamba hauziki mpka akose mdhamini au wakala wake kashindwa kutafta mdhamini ? Je club haina mkataba mfano labda na adidas iwapo itatokea kwa swala kama ilapo liwe linakuwa covered na mdhamini ,kama anatengeneza izo bidhaa pia ?
Leo Stoke 2-Liverpool 1
Arsenal 0-H'field 0
Chelsea 0-Swansea 0
City 4-S'ton 0
Leo Stoke 2-Liverpool 1
Arsenal 0-H'field 0
Chelsea 0-Swansea 0
City 4-S'ton 0
Man city hizi mechi mbli za mwsh wameshinda kwa tabu sana pia hawana kikosi kipana kama man utd naamini man utd atachukua ubingwa huu msimuMan City Jana Kafunga Goli la Oili Dakika Ya 95' .... Tayari analazimishwa Kuwa Bingwa... Akifanikiwa Msimu Huu, Basi Msimu ujao asubiri yamkute Ya Spurs...
Spurs Miongoni Mwa Sababu Za Kuboronga Msimu Huu, Ni Kwamba Msimu uliopita Hakuwa Na Benchi la kufanyia Rotation Wachezaji! Kwahiyo Kutokana na Kutokuwa na Depth ilimbidi Aforce Wachezaji Kucheza Kwa Kila Game, Hatimae Wameshachoka na Sasa Hawana tens uwezo wa Kupambana...
Na Man City Na Yeye Kwavile Gurdiola amefocus Ubingwa! Ameamua Kushisha Full Mziki kwa Kila Game bila ya Kibadili First XI yake...
Kwahiyo Wasipochoka Ndani ya Msimu Huu, Basis next seasons utakuwa ni Msimu mgumu kwake.
Dalili za hile kasi yake ya Goli 4 na 5 kupotea na kuishia Kuvizia ushindi dakika za Referee (95') zinaonesha wazi Kuwa Timu inaendea Kuchoka Kwa Wachezaji Kuto kupumzika.
Kupata kichekesho kama hichi tuma neno chizika kwenda 000Man city hizi mechi mbli za mwsh wameshinda kwa tabu sana pia hawana kikosi kipana kama man utd naamini man utd atachukua ubingwa huu msimu
Sihusiki na uelewa wako isipokuwa nlichoandika tuKupata kichekesho kama hichi tuma neno chizika kwenda 000
Sihusiki na uelewa wako isipokuwa nlichoandika tu
Afu mkuu nilitaka kuuliza 4G ya magoli ya city mbona siku hizi imepungua sana saivi wakishinda wanashinda kwa goli chache sana sio kama awaliMan City Jana Kafunga Goli la Oili Dakika Ya 95' .... Tayari analazimishwa Kuwa Bingwa... Akifanikiwa Msimu Huu, Basi Msimu ujao asubiri yamkute Ya Spurs...
Spurs Miongoni Mwa Sababu Za Kuboronga Msimu Huu, Ni Kwamba Msimu uliopita Hakuwa Na Benchi la kufanyia Rotation Wachezaji! Kwahiyo Kutokana na Kutokuwa na Depth ilimbidi Aforce Wachezaji Kucheza Kwa Kila Game, Hatimae Wameshachoka na Sasa Hawana tens uwezo wa Kupambana...
Na Man City Na Yeye Kwavile Gurdiola amefocus Ubingwa! Ameamua Kushisha Full Mziki kwa Kila Game bila ya Kibadili First XI yake...
Kwahiyo Wasipochoka Ndani ya Msimu Huu, Basis next seasons utakuwa ni Msimu mgumu kwake.
Dalili za hile kasi yake ya Goli 4 na 5 kupotea na kuishia Kuvizia ushindi dakika za Referee (95') zinaonesha wazi Kuwa Timu inaendea Kuchoka Kwa Wachezaji Kuto kupumzika.
Kuna tetesi kuwa huenda Matic akakosa mchezo huo baada ya kupata majeraha kwenye mechi ya WatfordMwenye updates zozote Kuhusu kikosi chetu pamoja na mechi ya kesho..
Kiatu siyo part ya jezi.....Club huwa haziwabani wachezaji kwenye viatu, kila mchezaji yuko huru kuchagua kiatu chake alipwe yeye. Hapo inabidi agent akuuze kwa kampuni za viatu.