Lee Cho in JF-Expert Member Joined Apr 13, 2015 Posts 941 Reaction score 693 Nov 18, 2017 #79,721 kisu cha ngariba said: Click to expand... Waooooh nimefurahi sana kuwaona hawa watu
Lee Cho in JF-Expert Member Joined Apr 13, 2015 Posts 941 Reaction score 693 Nov 18, 2017 #79,722 Game saa ngap
dont trust any 1 JF-Expert Member Joined Jun 30, 2015 Posts 250 Reaction score 207 Nov 18, 2017 #79,723 Lee Cho in said: Game saa ngap Click to expand... Mbili na nusu usiku kwa saa za Afrika Mashariki
Smart Guy JF-Expert Member Joined Dec 19, 2016 Posts 6,880 Reaction score 7,022 Nov 18, 2017 #79,724 Numbisa said: Baada ya mwanzo mzuri msimu huu, United wamepata alama nne kutoka kwenye mechi zao nne za mwisho Ligi ya Uingereza na sasa wapo nyuma ya vinara Manchester City kwa pengo la pointi nane kwenye msimamo wa ligi. Click to expand... Hivi we ni mshabiki wa timu gani? Uingereza.
Numbisa said: Baada ya mwanzo mzuri msimu huu, United wamepata alama nne kutoka kwenye mechi zao nne za mwisho Ligi ya Uingereza na sasa wapo nyuma ya vinara Manchester City kwa pengo la pointi nane kwenye msimamo wa ligi. Click to expand... Hivi we ni mshabiki wa timu gani? Uingereza.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,112 Reaction score 1,249,108 Nov 18, 2017 #79,725 Manchester united machungwa said: Hivi we ni mshabiki wa timu gani? Uingereza. Click to expand...
Smart Guy JF-Expert Member Joined Dec 19, 2016 Posts 6,880 Reaction score 7,022 Nov 18, 2017 #79,726 Numbisa said: Manchester united Click to expand...
Smart Guy JF-Expert Member Joined Dec 19, 2016 Posts 6,880 Reaction score 7,022 Nov 18, 2017 #79,727 radika said: Ngoja nkuache kufikia hapo ushatolewa nje ya reli umekuja pupa kumbe hamna unachokijua Click to expand...
radika said: Ngoja nkuache kufikia hapo ushatolewa nje ya reli umekuja pupa kumbe hamna unachokijua Click to expand...
mkurya org. JF-Expert Member Joined Sep 25, 2014 Posts 1,571 Reaction score 1,696 Nov 18, 2017 #79,728 Kikosi cha leo
Mr Q JF-Expert Member Joined Aug 16, 2012 Posts 21,006 Reaction score 46,759 Nov 18, 2017 #79,729 mkurya org. said: Kikosi cha leo View attachment 633111 Click to expand... inabid hasira zetu ziishie kwa hao madogo 6+ with clean sheet
mkurya org. said: Kikosi cha leo View attachment 633111 Click to expand... inabid hasira zetu ziishie kwa hao madogo 6+ with clean sheet
P permanides JF-Expert Member Joined May 18, 2013 Posts 12,328 Reaction score 15,036 Nov 18, 2017 #79,730 Mr Q said: inabid hasira zetu ziishie kwa hao madogo 6+ with clean sheet Click to expand... Mkuu 6 wao wakiwa wamesimama tu?
Mr Q said: inabid hasira zetu ziishie kwa hao madogo 6+ with clean sheet Click to expand... Mkuu 6 wao wakiwa wamesimama tu?
Wild sniper JF-Expert Member Joined Apr 3, 2015 Posts 4,426 Reaction score 8,726 Nov 18, 2017 #79,732 Haya sasa Martial na Rashford plus pogba ndani tukifungwa au droo leo siangalii tena mechi za hii timu mpaka mwaka unaisha
Haya sasa Martial na Rashford plus pogba ndani tukifungwa au droo leo siangalii tena mechi za hii timu mpaka mwaka unaisha
Philipo D. Ruzige JF-Expert Member Joined Sep 25, 2015 Posts 9,429 Reaction score 27,123 Nov 18, 2017 #79,733 mfarisayo said: Click to expand... Kwa line up hii ushindi ni 22/7 ama 3.14. Nawahakikishia tusiposhinda Ntakunya mbezi mpaka kariakoo... Tusiposhinda mnikumbushe
mfarisayo said: Click to expand... Kwa line up hii ushindi ni 22/7 ama 3.14. Nawahakikishia tusiposhinda Ntakunya mbezi mpaka kariakoo... Tusiposhinda mnikumbushe
lucky lefty JF-Expert Member Joined Feb 16, 2017 Posts 491 Reaction score 454 Nov 18, 2017 #79,734 Pogba ametoka kwenye injury bado hana ile momentum sidhani kama atakuwa na effect sana, chamsingi akina rashford wakaze tu
Pogba ametoka kwenye injury bado hana ile momentum sidhani kama atakuwa na effect sana, chamsingi akina rashford wakaze tu
Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 19,226 Reaction score 68,242 Nov 18, 2017 #79,735 Pogback
Lee Cho in JF-Expert Member Joined Apr 13, 2015 Posts 941 Reaction score 693 Nov 18, 2017 #79,736 mfarisayo said: Click to expand... POGBACK
Kisu Cha Ngariba JF-Expert Member Joined Jun 21, 2016 Posts 22,133 Reaction score 48,851 Nov 18, 2017 #79,737
eden kimario JF-Expert Member Joined Jun 13, 2015 Posts 10,356 Reaction score 16,400 Nov 18, 2017 #79,738 team mbofu mbofu leo mtakiona leo
Kisu Cha Ngariba JF-Expert Member Joined Jun 21, 2016 Posts 22,133 Reaction score 48,851 Nov 18, 2017 #79,739 Mechi 37 bila ya kupoteza OT, je leo tutafikia rekodi ya mechi 38 bila ya kupoteza OT?
Kisu Cha Ngariba JF-Expert Member Joined Jun 21, 2016 Posts 22,133 Reaction score 48,851 Nov 18, 2017 #79,740 eden kimario said: team mbofu mbofu leo mtakiona leo Click to expand... Hongera mwenye timu nzuri inayoongoza ligi.
eden kimario said: team mbofu mbofu leo mtakiona leo Click to expand... Hongera mwenye timu nzuri inayoongoza ligi.