Dah walau nimeona dakika 5 za mwisho...hii si haki..natoka ofcn nakutana na jam ya kufa mtu, nkapita mkato weee ile nafika hm Ngeleja amechukua Megawatt zake..so siwez ona mech..ad nifike Bar mtaa wa nane mechi kwishney...duh! mwaka wa shetan uu wajameni.
Kudos kwa manazi wenzangu....ila naona huu mzik n wa Barca, awa watt tunawaonea tu.