Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Jibu umelipata nafikiri sasa kwako imebaki ubishi tu
kapumzike jukwaani kwako ulishashinda mechi jumapili sioni kwa nn unahangaika huku had leo ishakuwa zilipendwa kama porto ile inabeba uefa kikos kizima kwa muda ule hakina mchezaj level za teves unaomba miaka mi 5 ipo shida
 
kapumzike jukwaani kwako ulishashinda mechi jumapili sioni kwa nn unahangaika huku had leo ishakuwa zilipendwa kama porto ile inabeba uefa kikos kizima kwa muda ule hakina mchezaj level za teves unaomba miaka mi 5 ipo shida
Jibu ushapata naona sasa imebaki kelele tu
 



Juan Mata:

“In sports you have to accept the defeats, but with the only goal of learning from them and trying to improve in the next game. That’s what we’re going to do. There’s still a lot to play for, so let’s carry on.”
 

Ulivyoandika kama vile mnaongoza ligi kumbe na kocha wenu anapambana asifukuzwe.
 

Conte hana uwezo wakufika nusu fainali ya Champions league sembuse kufika fainali tu.
 
Huyu kocha anashangaza, unanunua wachezaji wa bei mbaya, mishahara mikubwa halafu unaishia kupaki basi.

Madrid kikosi kilichojaa wachezaji wa dunia wakifungwa na timu ya watoto wa miaka 21, ukushangaa hilo? Ukushangaa Chelsea alivyopaki bus mbele ya Man City? Ukushangaa Chelsea yenu kufungwa goli 3 na Roma?
 
Mourinho sio kocha ni msimamizi wa mazoezi tu

Kocha anaweza kulala kwake na kwenda siku ya mechi uwanjani, msimamizi wa mazoezi ndio anaandaa kila kitu hili timu iweze kushinda mechi inayofata. Kama nyie mna kocha sisi tuna msimamizi wa mazoezi anaejua kila kitu kinachoendelea mazoezini.
 
Huyu kocha anashangaza, unanunua wachezaji wa bei mbaya, mishahara mikubwa halafu unaishia kupaki basi.

post kama hizi huwa hazionekani akishinda au kuchukua makombe huwa mnatunza vinyongo had afungwe kizur umeongea umetoa sumu
 
mi lukaku sina wasiwasi nae miezi yeke mibovu ndo hii hata msimu ule yupo everton miez kama hii alikuwa anapotea sana ila katkat ya mwez huu atarud tu naiman nae kubwa mno hawez kuniangusha akiba ya maneno ni muhimu mno wache wamponde tu


To be honest! Tukiongelea Kiushabiki Basi Utanipinga! Na Kuna Tunaoangalia Mpira, na Wanaokodolea Macho TV...

Wanaokodolea Macho TV watakwambia Lukaku Kaflop (He is Nothing)..

Lakini Tunaoangalia Mpira Tunasema Lukaku is the Best.. But Chemistry ya Timu Ndiyo Problems..

Ukweli usiofichika Huwezi Kuwa Na Best Lukaku Pale Utakapo Wachezesha HERRERA na MATIC kwa Wakati mmoja..

Ili Lukaku aweze Kuwa Katika Ubora ni Lazima Kati ya Matic au Hererra mmoja wapo akae juu na acheze mmoja tu.

Kwa aliyewahi kucheza mpira basi ni rahisi kunifahamu nilichokiongelea..

"YOU CAN'T PLAY TWO DEFENSIVE MIDFIELDERS AT RHE SAME TIME EVEN IF YOU CHANGE THEIR ROLE"

Lukaku ni box-to-box striker kwahiyo ni lazima apate Matic-Mata au Matic-Pogba! Na sio Hererra-Matic au Herrera-Pogba au Herrera-Mata..
 
Mourinho sio kocha ni msimamizi wa mazoezi tu

mmiliki wa timu yenu basi atakuwa mgonjwa wa akili msimamizi wa mazoezi kumuajiri na kumlipa mshahara kama kocha 2004 had 2007 ,2013 had 2016 ajabu sana hata wazungu kumbe wagonjwa.
 
Iyo kaluli ya can't play two Defensive midfielder sidhani kama ni sawa, mbona kuna timu wanatumia na wanapata matokeo, nafkiri pia inategemea aina ya watu unaokutana nao ndo inqkusababisha uchezeshe wakabaji wangapi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…