Half time
Man Utd 3 - 0 Bolton
Si unajua whatever city can do, we can do better. Nataka tuwachape hawa wapuuzi 7 kumnyamazisha huyo Kevin Davies.naona mkuu mnataka mwandelee kukaa juu nini..
Buahahahah in your face, tatizo lako unaamini sana magazeti ya udaku...!!!
Tayari maanza chechemea
khe khe kheeeeeeeeeeeeeeee
Cleverley kaumia so katolewa kaingia Carrick.Keep flowing braza Eqlpz...had caught in the jam apa leo nimepatikana..amna cha Da Gea wala Clever kuwaona..may b 2nd half mwishoni.
hahah mkuu nilikwambia, Rooney na Hernandez mmoja wao ana hat trick.ngoja tuone hii foul..