Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mnaosema lukaku hajui chenga kwan ndo kazi yake ???.....
Mbona lile lijeruman Thomas muller ndo kabisaaaaaa hajui ata kufinya lakin lilikuwa linatupia tu bumdesliga labda saivi lewandowski na James wanamnyima riziki ya Namba
 


Okota mwenyewe Dugia


Eti Matic fundi nywiiiiiiiiiiiiiiiiii




Hicho kinaitwa kichwa mparazo siku akipiga Lukaku nakunya sebuleni

Mhindi coco na mjukuu wa Mama ndalichako





The tactician
 
Hivi tukiwa ugenini ni lazima kucheza kwa kujihami na kupaki basi?mou should go
 
mkuu ntajie misimu mi 3 ambayo hazard kawa kwenye form katupia goli zaid ya 15 au hata 10 na assist 10 tukikwambia ni mchezaj wa kawaida usikatae
Magoli si kipimo pekee kwa mchezaji aina ya Hazard, angalia majukumu yake mengine. Angekuwa Central striker hapo ningekuelewa
 
Poleni kwa Maumivu Wakuu
Yamepita haya,, jamaa wametumia udhaifu wetu wakatuadhibu,,..
Chelsea alkua na nafasi y kushinda more than One ila tmejitahidi sio mbaya.. Japo wiki itaanza vibaya,,.

Timu yetu bado nzuri na baadhi ya wachezaji wameanza kurejea,, sio mbaya japo ni mapema kukata tamaa ila tunae!fukuza daaah!!! Hakamatiki..

@GGMU
 
Chelsea 1 man 0, not every big game parking a bus is a wining strategy .In order to win a team must dictatate a game....you press press expecting the opponent to mistake and u take chances.Shame jose mourinho.
 
Target ilikuwa EPL ....kwa moto wa city ...ndo basi tena
 
Yani kelele zenu ndo huwa zinawaponza sasa Chelsea bingwa mtetezi kakufunga unasema eti chelsea litimu libovu sasa nyie wenye wachezaji wazuri mbona hamjachukua ligi tangu Ferguson aondoke
Mkubali tu timu yenu ni ya kawaida tena sana mmebaki jina tu mchezaji wenu bora ni De gea wengine wote uwezo wao ni kawaida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…