Mkhi ana homa za vipindi..pale no.10 hamna mkhi kwisha habar yake kupata mchezaj kariba ya rooney tutasota sana
Acha zarau
Mapema sana kukata tamaaKwa jinsi tulivyocheza leo, kuongelea suala la ubingwa itakua ni kujifurahisha tu ila kiukweli hatutishi wala nini.
Na yote hii alikuwa anataka drw ushindi apate hmMi napishana na mou anapenda kujihami wakat km anaamua timu ishambulie 2natoboa ! Mbn walikuwa wanaomba game iishe