Sio man u fan uyoMkuu kwan Young ana tatizo gan?
Ngoja uuone mziki wewe. Hakuna Likuku wala Ling'ombe leoHahahahhahahaha andaa machela itakayo wabeba. Mje na kikosi cha msalaba mwekundu.
HahahahahaNgoja uuone mziki wewe. Hakuna Likuku wala Ling'ombe leo
MKUU IWEKE KAMA LINK MAANA NAI GOOGLE SIIPATICrickfree.us ipo tena bila ads ni ww tu na MB zako
Fabrehas anaachiwa sana soon atapiga key pass...
Mkuu samahani sijakuelewa uliposema " Powa ya kutosha"Hawa jamaa watatuwin kwenye mid aisee hasa upande wa fiziki. Watu wetu wa kati hawana energy na powa ya kutosha.
Nilitaka kumaanisha pawa, sorry.Mkuu samahani sijakuelewa uliposema " Powa ya kutosha"
MKUU IWEKE KAMA LINK MAANA NAI GOOGLE SIIPATI
Ni kweli mkuu, jamaa wamejaza mijitu kati kati hatari. Bado Pedro yupo nje, Ila Fella ataingia, Martial na Darmian au Blind.Tunaitaji mtu mmoja kwenyw kiungo, aje kusaidiana na Herrera na Matic.
AmeenMungu ni mwema kila wakati