Manchester United (Red Devils) | Special Thread

I dont question Jose ability ila mie nasifu ability yake kupata matokeo na kile alichonanacho na pia yeye ameshasema kwamba anahitaji wachezaji flani na pia Lukaku anamchezesha anavyomchezesha kutokana na hana mbadala wake kwa sasa.
Pia hili la formation ya timu mbona lipo wazi kuna makocha na wadau mbali huwa wanaongelea makosa ya timu na uchezaji kila baada ya mechi.Sidhani kama kuongelea mapungufu ya mchezaji flani ni kumnyima sifa zake, hili suala lipo wazi sana kwa kila timu.
 
haya pundits mbalimbali wanafanya analysis kwenye hiyo channel ya Youtube nadhani kidogo maoni yao yana uzito kutokana wanalisha familia zao kwa kufanya hiyo kazi na pia walikua/wapo kama makocha, wachezaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…