Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hata kama ni uhuru wake kwanini afanye kitu ambacho wengi hawakipendi wala kufurahia.

Suala yeye kuwa active ni suala lake binafsi na wala halileti uhalali wa yeye kufanya yasiyopendeza wengi.
 
Nielekeze na mimi jinsi ya kuignore mkuu
Kuna jamaa mmoja tu nimem-ignore alileta suala la ubaguzi wa rangi humu. Kujibu swali lako: click huu la jina la MTU unaetaka kumignore. Mwisho kulia maneno ya chini ya jina lake kuna ignore. Bonyeza tu hiyo.
 
Mzee baba ongeza mapicha picha....binaadamu wanafiki sana kuna kipindi RUTASHUBANYUMA alihamia katika uzi wa Likes humu watu wakaanza kusema mara uzi upo kimya nk..
Hayo mapicha picha ndiyo aina ya mchango wake kama wengine kazi yao kuqoute matusi tu nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…