Mkuu sisi hatulalamikii kila picha ila tunalalamikia picha anazorudia rudia kila mara ambazo hazina umuhimu wowote zaidi ya kuona tu wachezaji na hata kama ana malengo yake binafsi ya kupata anachojua yeye ajue tu kuna watu wengine wanalalamika ili apunguze na kuna watu wengi wanakereka ila wameshaongea hadi wakachoka nikiwemo mm.