Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ama kwa hakika popobawa hafundishwi wala hakatazwi zinaa,kwa huo unyago ulompa sawa bin sawia,kwa nyongeza tu mwambie hata Huyo fegi wake hakuwai kumtisha great mou hata mara moja zaid ya kumpigia ramli na kina fletcher wake,ila Wenger majibu mazur nahisi anayo kuhusu hiki kiumbe mana alifanya arsenal kama danguro na striker wake ambaye alikuwa chenga mwiko,mana ulikuwa ukisikia Tembo inabidi usubiri reply huku model anatafuta Kofi lake reeeeefu hadi magotini...
Mou nakungoja msumbij ukija chochote ntakupa ila vya Woodward tuma mwenyewe
 
gear aliyotiwa martial inanikumbusha Louis nani vs Jimmie,pale kweli hakutakiwa MTU kupumzishwa? Maana ule sio mpira bhana au me ndo sijaelewa!!!
 
Sijawahi kumwelewa Yule dogo lingard sijawah sijui nn bora angemuachaga Yule Josh Harrop
 
Uko vyema mkuu
 
Rojo yukwap
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…