Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kuna watu wana furahia sana matokeo haya ila.........

"Katimu kenyewe ni kibonde mnafurahia"..... ndio maneno yatakavyokuwa
 
Kama mna uwezo na nyie rudisheni ila mna hali mbaya sana poleni kina ngariba radika juma jux
 
Tukibahatika kurudisha hata kimoja tutawashambulia hawa kama nyuki
 
wajinga hawa yaani walipofunga watu wachache wakajiona wanaweza haya bana mmepigwa na aliyepanda daraja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…