Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Leo ni mwendo wa kushindiliwa mabao ya moto moto tu
 
Beki na viungo hawaeleweki wanafanya nini.
Hakuna maelewano Kati ya viungo na washambuliaji
 
Mhh leo kazi ipo hii team kama awajarudi mapema kina pogba na bally hakuna kitu
 
Siku zinavyozidi kwenda timu inadrop tu sijui ndo majeruhi ama nini na jones ndo kaumia i hope sio injury kubwa sana ya mda mrefu....
Tusubiri kupindua matokeo kama itawezekana.
 
Man u tumecheza Mpira mbovu sana tungojee kipindi cha pili labda wachezaji watabadilika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…