Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Just to remind you guys, liverpool are 8th in the table, just below burnley and watford
 
Kuna taarifa Mou hana maelewano na Woodward, taarifa za chini kwa chini
Woodward ni virus kwenye club yetu, just a matter of time watu watalielewa hili, sijui hata kwanini kuna watu wanapost hata post za kum-praise humu ndani
 
This time tomorrow Maribor will be playing liverpool at home........

If you don't know who they are, they're a new version of N. Forest from merseyside
 
Kuna taarifa Mou hana maelewano na Woodward, taarifa za chini kwa chini
Ni kweli na nimesikitishwa na hili,PSG wanaweza kutumia nafasi hii kumrubuni Mou ili awe kocha wao,hamna kocha atakayekataa kuifundisha PSG kwa sasa kutokana na aina ya kikosi,mikakati yao na uwezo wao wa Fedha.

Board ya Man U inatakiwa kuwa makini kipindi hiki,nimesoma maelezo ya Mou inaonesha amekubali kusajiliwa kwa wachezaji watatu dirisha la usajili lililopita kishingo upande,kumbe alitaka wachezaji wa kazi zaidi ya wa Tano,hasa Mawinga na kiungo,Woodward akazingua huku timu ikitoa mzigo.

Mou anatishwa na aina ya kikosi cha City cha sasa,anahitaji nguvu ya ziada.

January Woodward afanye kitu kumtuliza Mou hamna jinsi.

Inaonekana hawa akina Matta bado hajaridhika nao,anahitaji watu wa kazi hasa.

Tukiacha hilo lakini nimestushwa na Mou kukubali kumuachia De Gea kwa sababu ya Gareth Bale,na bora tulivyo mkosa.

Sioni kama Gareth kama ni mzuri kwa sasa.

Habari nzuri ni kurejea kwa Pogba next match.

Bado Man United tuna nafasi.

Newfame.
 
Hizo rumors zinaenezwa kwa lengo la kupandisha thamani ya mkataba wa mou tu.
 
Umezipata wapi hizi? Wasingeanza kumpa 5year deal kama hali IPO hivyo. Maana anaesimamia hilo deal ni Woodward.

Inawezekane huyu jamaa kamuangusha sana mourinho ktk usajili alipewa majina toka mwez wa kwanza wachezaj target ya kwanza aliwakosa tukahamia plab B
 
Mourhnio anataka dau la mkataba mpya lipande huku anatishia PSG. Woodward yuko makini na bottom line

Mkuu mourinho sio mnafiki huwa hatanii anachoongea ndo hicho hicho jamaa kweli ataondoka nakwambia ed woodward yupo shapu sana ktk mambo ya biashara lakin ktk usajili mzito sana hicho kinamfanya mourinho asijisikie vizur ukiangalia city na psg suala la usajili wanalizingatia sana tofaut na sisi sasa yeye mou anaangalia zaidi uwanjani ambapo kwake ndo lawana huanzia alihuzunika sana alipowakosa wachezaj anaowataka muorinho kafanya kazi na chelsea angalia walivyokuwa shapu kuchukua wachezaj alipo point sisi tunajivuta mno hadi kero gemu ya juz tu na liverpool ilihitaj winga mzoef kwenye kaunta attack hapo perisic alikuwa msaada mkubwa mno sifa ya pili anasaidia kukaba
 
Chelsea walikuwa sharp kwenye usajili kuliko United ?

So ulitaka Woodward atoe £48m kumnunua Perisic ?


Game against Liverpool tayari lawama anaanza kupewa Woodward.Hata angekuwepo Perisic still approach ya Mourinho isingebadilika.Pep Guardiola ana approach zake na aina ya wachezaji anaowahitaji so usitegemee Man United icheze kama Man City wakati inafundishwa na Mourinho
 
Asubiri aone musimu huu atabeba mataji mangapi ndiyo aongee ugali wake
 

Simaanishi united wacheze kama city hapana, kabla bei ya perisic ilikuwa 35 alivyojivuta inter wakamteua kocha mpya spallert akakomaa had 48 hapo biashara hamna maana yake kishablock ila mwanzo tulikuwa na nafas.
Chelsea katupiga mabao mangapi kipindi mourinho kocha ktk usajili?
Mourinho siku zote anapocheza na timu ngumu huwa anategemea counter attack na kujilinda zaidi hawez kukwepa lawama ed ni mara ngapi kocha kalalamika kuwapata wachezaj anaowataka mkuu ktk kipind cha kujiandaa na pre season?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…