Ronaldo alitamka mapema kuwa siku moja anataka kuchezea Real Madrid timu aliyokuwa anatamani kuichezea tangu udogoni sasa ulitaka tumzuie kutimiza ndoto yake kama mlivyokuwa mnataka kumzuia Fabregas? Fergie alichofanya alimwambia nipe one more season then ondoka.Mkuu Ronaldo yuko wapi? Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee as for wine Romney bado haja-prove his greatness ... .... ...
C Man Utd, Benfica, FC Basel, Otelul Galati
Ahsante mkuu, looking forward to lots of good football.kila la heri watani
kila la heri watani
Ronaldo alitamka mapema kuwa siku moja anataka kuchezea Real Madrid timu aliyokuwa anatamani kuichezea tangu udogoni sasa ulitaka tumzuie kutimiza ndoto yake kama mlivyokuwa mnataka kumzuia Fabregas? Fergie alichofanya alimwambia nipe one more season then ondoka.
Mkuu Ronaldo yuko wapi? Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee as for wine Romney bado haja-prove his greatness ... .... ...
80 milion pounds is another story pal.
It could be insane to refuse such an amount.
I dont think if Fabrigas was Manu player, Fergie could have let him go so Cheaply.
If was not for the 80 milion ponds Ronaldo could not have been sold and could rot in the stands.
Muwe behind Wenger in difficult times!
....do you think I'm Arse fan?!!!!!!!!
Ronaldo alitamka mapema kuwa siku moja anataka kuchezea Real Madrid timu aliyokuwa anatamani kuichezea tangu udogoni sasa ulitaka tumzuie kutimiza ndoto yake kama mlivyokuwa mnataka kumzuia Fabregas? Fergie alichofanya alimwambia nipe one more season then ondoka.
Ronaldo hakuwa Real Madrid Fan alikuwa Barcelona fan wakati wa udogo wake chunguza vizuri kabla kuandika... ila £80m hata siku moja hakuna angeikataa. mie sio United Fan ila Ronaldo kiwango chake kimeanguka sana Real madrid, Fabregas ataweza kuwika sababu anacheza nao sana Eniesta na Xavi timu ya Taifa.
Whoops! Browser Settings Incompatible
Duh!! Wewe kweli kiboko mkuu! Yaani huu Whoops! Browser Settings Incompatible ndio uchunguzi uliofanya na kupresent kama fact kwamba Ronaldo alikuwa mshabiki wa Barcelona udogoni? Tumwamini nani hapa, kati ya Ronaldo mwenyewe na Eric Djemba-Djemba? Nakumbuka Ronaldo alinza kupiga kelele za kutaka kutamani Madrid kabla hata wao wenyewe hawajaonyesha interest, kwanini hakuwahi kusema anatamani kwenda Barca?
Pili, unatumia vigezo gani kusema Ronaldo ameshuka kiwango sana tangu aende Madrid? Statistic hazionyeshi hivyo! Nina wasiwasi kama unaangalia Primera Liga, maana ungekuwa much more informed kuliko hizi sweeping statement unatoa hapa!!!! Nafakiri unashindwa kuelewa kwamba the only reason Ronaldo hajachukua ubingwa wa Spain ni uwepo wa timu nzuri sana ya Barcelona, na sio individual perfomance yake....na kuna kila dalili Mourniho anapunguza gap alilolikuta wakati anafika, just matter of time watanyanyua ndoo. Jaribu kufanya uchunguzi japo kidogo kama unavyoagiza wengine.
Msimu huu chelsea inaonekana laini..ngoja tuone.