Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,504
- 911,249
Nimesikia wale PSG wamevutiwa na huduma ya Degea..
Wakamkomalia sana itabidi watupe Neymar, Mbappé, Cavani na pesa kidogo!
Ataua huyu mtoto
Ndio. Ni namna nyingine ya kupeleka ujumbe kuwa huuzi. Ni kama Inter walivyotaka wapewe Anthony Martial (21) na pesa ili watupatie Ivan Perisic (29).Hiyo itakuwa inaitwa kukomoana, na sio biashara duh.
Katupia huko Belgium hilo lilukaku.
Nategemea huu moto utaendelea nao juma mosi saa nane na nusu mchana hapa kuna goli moja la lukaku sijui matatu watafunga wakina nani.
Wanahangaika haoNimesikia wale PSG wamevutiwa na huduma ya Degea..
Wakamkomalia sana itabidi watupe Neymar, Mbappé, Cavani na pesa kidogo!
LIVERPOOL VS MAN UNITED
Some general stats before the game.
-Head to head record (for United):
Wins 87
Draw 64
Loss 75
-Since 2010- Now (for United)
Wins 11
Draw 4
Loss 5
-Since 2014- now, United didn't lose to Liverpool in the Premier League.
-United's most recent loss to Liverpool was in the Europa League under Lvg (2-0)
-The last 3 matches all ended in a draw.
Atakuwa aliwasiliana na Mou kuhusu lukaku kucheza au la........Na bado Lukaku kapona jana anataka amchezeshe. Huyu Martinez hovyo sana, Belgium washafuzu WC sijui anahangaika nini.
Unaweza kujikuta unafurahi kama vile mazuri.....Adui kaombewa njaa
Nimesikia wale PSG wamevutiwa na huduma ya Degea..
Wakamkomalia sana itabidi watupe Neymar, Mbappé, Cavani na pesa kidogo!






Wengne wanamtaka de gea, wengne Martial, wengne Herera, Wengne RashfordWanachukulia sisi hatutaki wachezaji wa viwango vya juu..
Sasa unakuta timu inamtaka Martial kabisa bila aibu..
Afadhari............

















Naitaman sana hii game ya jmoc ingawa tuna pancha kama fellain.Siku zinatembea sana,jumamosi tukishinda itakuwa big step sana
Naitaman sana hii game ya jmoc ingawa tuna pancha kama fellain.
Siku zinatembea sana,jumamosi tukishinda itakuwa big step sana