Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,504
- 911,249
Wote watapigwa tuMkuu hapo namuogopa liver gem kubwa anakamia chelsea kaanza kusepa msimu huu takwimu hazidanganyi gemu ya spurs mlitokea tundu la sindano sema na wembley mlistrugle sana kwa arsenal gemu ya pili mbele alicheza iwob arsenal walifika kwenye 18 mara nyingi sana tofaut na nyie ukija gem ya jana loo
Mesut Ozil......Mourinho kibokooooo